Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

Wanajiona wamemuweza parking lot gari zilizopaki thamani yake inaweza kumlisha mwijaku na ukoo wake mpaka wanazikwa bila kufanya kazi yeyote😂😂😂
Sema kibongo Bongo ile parking ile parking imeshiba
Cadillac Escullado zipo 2
Toyota land cruiser V8 Zipo 3
BMW X6
Cullinan Rolls Royce

Muhimu ana gari saba halafu zote kali
 
Ile umesikia ni ya 2021 na hii uliyoweka hapa ni 2020
Screenshot_20210715-063321.png
 
Screenshot_20210715-080548_Instagram.jpg

Ndicho kilichobakia sasa hivi, naona anaingilia kazi ya Mungu ya kujua nani anaenda ahera na nani anaenda peponi, wakati yy mwenyewe ana balaa lake la kumdhalilisha Menina.
 
Back
Top Bottom