Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

Wanajiona wamemuweza parking lot gari zilizopaki thamani yake inaweza kumlisha mwijaku na ukoo wake mpaka wanazikwa bila kufanya kazi yeyoteπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sema kibongo Bongo ile parking ile parking imeshiba
Cadillac Escullado zipo 2
Toyota land cruiser V8 Zipo 3
BMW X6
Cullinan Rolls Royce

Muhimu ana gari saba halafu zote kali
 

Ndicho kilichobakia sasa hivi, naona anaingilia kazi ya Mungu ya kujua nani anaenda ahera na nani anaenda peponi, wakati yy mwenyewe ana balaa lake la kumdhalilisha Menina.
 
Hii tairi watu wanadai kipara sijui picha wameikota wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…