Hata diamond nae pale kanasa, sijui linampaga manini.. usema lina guu tamu 😋😋😋 akivaaga na kile kikuuu nabaki nameza mate tu.. sijui ndani kama yamo yaliyomo.. ila paka toto la tandale linaendeleza libeneke ujue moto upo mle
Kuhusu kids 100%. Sema inaonekana wamekubalia kuishi ile wanaita mahusion open.. hakuna kubanana banaa.. sidhani kama mondi anakaa siku zote bila kukinukisha na hata kwa zari ngumu kukaa mda wote bila kukiwashaa.. ila wanaendana sana.. licha ya hivyo Zari chomboWanapendeza sana kama couple pia wana chemistry kubwa kuliko wote waliowahi kuwa nao na kuwa na watoto pamoja kuwaongeza bond between them kuwa kubwa. Also DP is trying his best to be close to those kids.
Slowly 😀😀😀😀Ina buti la kutosha la kumpakia Tembo kama siku akiomba lift?
😂😂😂😂😂 Imekuingia mpaka kwenye utumbo mpana leoKanunua gari ya ndoto za watu sio yake, domo anajitesa sana , amefanya Hayo yote kushindana na watu , watu ata waweza kweli?, all in all kuna wenye pesa zaidi yake akae akijua hilo... na akiendekeza sifa za kijinga watammaliza, watu hawapendi stepz zake
Dah! Hapo chini kuna jina Simba!!Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hili ndilo gari jipya la diamondplatnumz. Ni Rolls Royce 2021. Kwa mujibu wa chanzo chetu cha kuaminika inatajwa kuwa gari hili limeingia Tanzania siku za hivi karibuni
Inasemekana gari hili Rolls Royce 2021 imemgharimu #Diamond zaidi ya Shilingi Bilioni Moja za Kitanzania. Rolls Royce 2021 itaungana na magari mengine mawili ya kifahari #Cadillac ambayo Diamond ameyanunua mwaka huu
Good News ni kwamba Diamond mwenyewe ameshatua Tanzania akitokea nchini Marekani ambapo alikuwa kwenye shughuli za kimuziki
----
Staa wa Muziki Barani Afrika na CEO wa #WasafiMedia, SIMBA @diamondplatnumz ameamua kuvuta Ndinga ya ndoto yake Rolls Royce Cullinan SUV ya Mwaka 2021 .
Gari hiyo yenye thamani zaidi ya Dola Za Kimarekani 650,000 (Tsh . Bilioni 1.5 kabla ya Ushuru ) , imepokelewa Leo Kutoka Bandarini na Staa huyo baada ya kuiagiza tangu Mwezi uliopita .
Diamond alishawahi kuweka wazi muda mrefu kuwa Gari ya ndoto zake ni @rollsroycecars , hivyo sasa anaweza kulala usingizi Mnono kwasababu ametimiza moja ya ndoto zake .
Hii inakua Gari ya 3 ya kifahari kwa @diamondplatnumz kununua ndani ya Kipindi cha Miezi Miwili baada ya Kuvuta Cadillac Escalades mbili Wiki kadhaa zilizopita !
Big Congratulations kwa SIMBA !
Chanzo: Wasafi Media
Nmeichunguza kwa makini jamaa kashikishwa io gari ni fake, nayapata Sana hayo mandinga aseh kipindi kipindi icho nipo Michigan 😃Hii inakua Gari ya 3 ya kifahari kwa @diamondplatnumz kununua ndani ya Kipindi cha Miezi Miwili baada ya Kuvuta Cadillac
Anaipa "value" brand yake..Asiinekane cheap..Promota majalala huwezi mfuata kwa show za kuunga unga..Kanunua gari ya ndoto za watu sio yake, domo anajitesa sana , amefanya Hayo yote kushindana na watu , watu ata waweza kweli?, all in all kuna wenye pesa zaidi yake akae akijua hilo... na akiendekeza sifa za kijinga watammaliza, watu hawapendi stepz zake
Fake Rolls Royce pia zipo JamaniView attachment 1853847
Hata ukiwa na huo wasiwasi kwani utalipanda hilo?Sema nina wasiwasi hii gari sio Rolls-Royce itakuwa ni scannia Irriza kama ile ya Yanga
Warumi mbona kama umekasirika.please usinitukane tu.Kanunua gari ya ndoto za watu sio yake, domo anajitesa sana , amefanya Hayo yote kushindana na watu , watu ata waweza kweli?, all in all kuna wenye pesa zaidi yake akae akijua hilo... na akiendekeza sifa za kijinga watammaliza, watu hawapendi stepz zake
Ukitaka kujua ni OG angalia rim pale inapotembea logo imebaki uprightNmeichunguza kwa makini jamaa kashikishwa io gari ni fake, nayapata Sana hayo mandinga aseh kipindi kipindi icho nipo Michigan 😃
Ni mtizamo tu usije ukaanza kutoa povu sasa hiviHata ukiwa na huo wasiwasi kwani utalipanda hilo?
Mm najua hata magari bro ni wivu tu unanitesa😅Ukitaka kujua ni OG angalia rim pale inapotembea logo imebaki upright
Haizunguki na tairi
Sasa kama no feki ndugu yangu niambie ni gari lipi limetumika kama platform
Hiyo 1.5bil+ si angenunua shamba Kilosa? Alisikika jamaa mmoja
Kwa hyo naww ungekua nalo ila unaogopa unaangaliwa step zako we unahangaika na nafsi mkuu tatizo sio watu kua na hela zaidi yake main issue ni katoa hela kanunua wewe unayesema sio ndoto yake unanishangaza kama ww ndio ndoto yake unamsemeaKanunua gari ya ndoto za watu sio yake, domo anajitesa sana , amefanya Hayo yote kushindana na watu , watu ata waweza kweli?, all in all kuna wenye pesa zaidi yake akae akijua hilo... na akiendekeza sifa za kijinga watammaliza, watu hawapendi stepz zake
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mm najua hata magari bro ni wivu tu unanitesa😅