Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

Wanapendeza sana kama couple pia wana chemistry kubwa kuliko wote waliowahi kuwa nao na kuwa na watoto pamoja kuwaongeza bond between them kuwa kubwa. Also DP is trying his best to be close to those kids.

Hata diamond nae pale kanasa, sijui linampaga manini.. usema lina guu tamu 😋😋😋 akivaaga na kile kikuuu nabaki nameza mate tu.. sijui ndani kama yamo yaliyomo.. ila paka toto la tandale linaendeleza libeneke ujue moto upo mle
 
Wanapendeza sana kama couple pia wana chemistry kubwa kuliko wote waliowahi kuwa nao na kuwa na watoto pamoja kuwaongeza bond between them kuwa kubwa. Also DP is trying his best to be close to those kids.
Kuhusu kids 100%. Sema inaonekana wamekubalia kuishi ile wanaita mahusion open.. hakuna kubanana banaa.. sidhani kama mondi anakaa siku zote bila kukinukisha na hata kwa zari ngumu kukaa mda wote bila kukiwashaa.. ila wanaendana sana.. licha ya hivyo Zari chombo
 
Kanunua gari ya ndoto za watu sio yake, domo anajitesa sana , amefanya Hayo yote kushindana na watu , watu ata waweza kweli?, all in all kuna wenye pesa zaidi yake akae akijua hilo... na akiendekeza sifa za kijinga watammaliza, watu hawapendi stepz zake
😂😂😂😂😂 Imekuingia mpaka kwenye utumbo mpana leo
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hili ndilo gari jipya la diamondplatnumz. Ni Rolls Royce 2021. Kwa mujibu wa chanzo chetu cha kuaminika inatajwa kuwa gari hili limeingia Tanzania siku za hivi karibuni

Inasemekana gari hili Rolls Royce 2021 imemgharimu #Diamond zaidi ya Shilingi Bilioni Moja za Kitanzania. Rolls Royce 2021 itaungana na magari mengine mawili ya kifahari #Cadillac ambayo Diamond ameyanunua mwaka huu

Good News ni kwamba Diamond mwenyewe ameshatua Tanzania akitokea nchini Marekani ambapo alikuwa kwenye shughuli za kimuziki

----
Staa wa Muziki Barani Afrika na CEO wa #WasafiMedia, SIMBA @diamondplatnumz ameamua kuvuta Ndinga ya ndoto yake Rolls Royce Cullinan SUV ya Mwaka 2021 .

Gari hiyo yenye thamani zaidi ya Dola Za Kimarekani 650,000 (Tsh . Bilioni 1.5 kabla ya Ushuru ) , imepokelewa Leo Kutoka Bandarini na Staa huyo baada ya kuiagiza tangu Mwezi uliopita .

Diamond alishawahi kuweka wazi muda mrefu kuwa Gari ya ndoto zake ni @rollsroycecars , hivyo sasa anaweza kulala usingizi Mnono kwasababu ametimiza moja ya ndoto zake .

Hii inakua Gari ya 3 ya kifahari kwa @diamondplatnumz kununua ndani ya Kipindi cha Miezi Miwili baada ya Kuvuta Cadillac Escalades mbili Wiki kadhaa zilizopita !

Big Congratulations kwa SIMBA !

Chanzo: Wasafi Media
Dah! Hapo chini kuna jina Simba!!
Lakini hawa team mondi ni utopolo sana [emoji3][emoji3][emoji3], team mondi walitakiwa wote kuwa utopolo ili washangilie magari pamoja na utopolo wenzao.
[emoji1787]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kanunua gari ya ndoto za watu sio yake, domo anajitesa sana , amefanya Hayo yote kushindana na watu , watu ata waweza kweli?, all in all kuna wenye pesa zaidi yake akae akijua hilo... na akiendekeza sifa za kijinga watammaliza, watu hawapendi stepz zake
Anaipa "value" brand yake..Asiinekane cheap..Promota majalala huwezi mfuata kwa show za kuunga unga..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Kanunua gari ya ndoto za watu sio yake, domo anajitesa sana , amefanya Hayo yote kushindana na watu , watu ata waweza kweli?, all in all kuna wenye pesa zaidi yake akae akijua hilo... na akiendekeza sifa za kijinga watammaliza, watu hawapendi stepz zake
Warumi mbona kama umekasirika.please usinitukane tu.
 
Kanunua gari ya ndoto za watu sio yake, domo anajitesa sana , amefanya Hayo yote kushindana na watu , watu ata waweza kweli?, all in all kuna wenye pesa zaidi yake akae akijua hilo... na akiendekeza sifa za kijinga watammaliza, watu hawapendi stepz zake
Kwa hyo naww ungekua nalo ila unaogopa unaangaliwa step zako we unahangaika na nafsi mkuu tatizo sio watu kua na hela zaidi yake main issue ni katoa hela kanunua wewe unayesema sio ndoto yake unanishangaza kama ww ndio ndoto yake unamsemea

I feel sad kwa hizi akili zako za kikongwe
Unamuonya mtu asinunue gari kwa sababu watu watammaliza cha kusikitisha zaidi haupo karibu na mtu alienunua hata ukiambiwa utaje mmoja anayemwangalia hujui poor you
Its sad kua hater
 
Back
Top Bottom