Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

RR kitu gani hata lemutuz anamiliki alisika mlevi mmoja hko rombo

IMG_20210714_213810.jpg
 
Diamond platinumz amedhihirisha Hilo kwa kununua Roll Royce Cullinan 2021 yenye thamani ya Zaid ya 2b.

Hatua hii kubwa inamfanya kuwa msanii mkubwa mwenye ndinga Kali akiungana na DAVIDO mwenye Roll Royce.

Wasanii we ye Rolls Royce Africa ni wawili tu Diamond platinumz na Davido.

DON'T HATE AND BE INSPIRED [emoji120][emoji123]

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani khaaaah
 
Kwa hali ya sasa usafini ma stress ya kushindana, kukopi kazi za watu nk waweke hadharani karatasi za hilo gari la sivyo hawataondoa mtazamo kwamba hilo gari linaweza kuwa feki.
 
Kanunua gari ya ndoto za watu sio yake, domo anajitesa sana , amefanya Hayo yote kushindana na watu , watu ata waweza kweli?, all in all kuna wenye pesa zaidi yake akae akijua hilo... na akiendekeza sifa za kijinga watammaliza, watu hawapendi stepz zake
Binamu nimekumiss sana.
 
Back
Top Bottom