Diamond Platnumz aumbuka, azuiwa kupanda Jukwaa Kuu

Diamond Platnumz aumbuka, azuiwa kupanda Jukwaa Kuu

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Wakati akiendelea kutumbuiza bwana mondi alitaka ashuke jukwaa lake aende kupanda jukwaa la wenye nchi, kufika ngazini kakutana na kono la baunsa mwenye shati la kijani kampiga stopu ikabidi azuge akaenda kupanda jukwaa la makada wa kawaida na kuendeleza mbwembwe zake.

Kweli hata ujione uko juu vipi kuna mipaka. Naona kitendo icho kimemvunja munkari sana mondi mwenyewe alijiona VVIP kokote anapita.
 
Kwenye usalama wa nambari 1hakuna mazoea na kujuana.
Unafikiri alietega bomu kwenye jukwaa la Mnangagwa alikuwa mgeni machoni pa wenye dhamana ya ulinzi.

Yale ya Ghandi kulipuliwa na bomu la kwenye mkanda ilikuwa mambo kama hayo ya Mondi.
 
Kwenye usalama wa nambari 1hakuna mazoea na kujuana.
Unafikiri alietega bomu kwenye jukwaa la Mnangagwa alikuwa mgeni machoni pa wenye dhamana ya ulinzi.

Yale ya Ghandi kuipuiwa na bomu la kwenye mkanda ilikuwa mambo kama hayo ya Mondi.
Kwa Mnagangwa niliona wana usalama wakitimua mbio baada ya bomu kulipuka😁😁😁😁
 
Kinachonichekeshe watu hawataongelea hoja wataongelea wasanii na Mambo ya mitama.

Kinaniuuma vibarua wangu wamebebwa na malori ya CCM kwa ahadi ya 10,000 na tishirt na kofia. Kesho wakirudi ntawaambie waende kuomba kazi CCM kwani tayar uniform wanazo.

Hongereni CCM kwa fiesta nzuri ila clouds mnawaweka kwenye wakati mgumu kibiashara.
 
Kwenye usalama wa nambari 1hakuna mazoea na kujuana.
Unafikiri alietega bomu kwenye jukwaa la Mnangagwa alikuwa mgeni machoni pa wenye dhamana ya ulinzi.

Yale ya Ghandi kulipuliwa na bomu la kwenye mkanda ilikuwa mambo kama hayo ya Mondi.
Alijiona yeye mkubwa alitaka aende pale kwa magufuli akawaimbishe pale kina kikwete [emoji23]
 
Back
Top Bottom