JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
Wakati akiendelea kutumbuiza bwana mondi alitaka ashuke jukwaa lake aende kupanda jukwaa la wenye nchi, kufika ngazini kakutana na kono la baunsa mwenye shati la kijani kampiga stopu ikabidi azuge akaenda kupanda jukwaa la makada wa kawaida na kuendeleza mbwembwe zake.
Kweli hata ujione uko juu vipi kuna mipaka. Naona kitendo icho kimemvunja munkari sana mondi mwenyewe alijiona VVIP kokote anapita.
Kweli hata ujione uko juu vipi kuna mipaka. Naona kitendo icho kimemvunja munkari sana mondi mwenyewe alijiona VVIP kokote anapita.