Diamond Platnumz aumbuka, azuiwa kupanda Jukwaa Kuu

Diamond Platnumz aumbuka, azuiwa kupanda Jukwaa Kuu

Wakati akiendelea kutumbuiza bwana mondi alitaka ashuke jukwaa lake aende kupanda jukwaa la wenye nchi, kufika ngazini kakutana na kono la baunsa mwenye shati la kijani kampiga stopu ikabidi azuge akaenda kupanda jukwaa la makada wa kawaida na kuendeleza mbwembwe zake.

Kweli hata ujione uko juu vipi kuna mipaka. Naona kitendo icho kimemvunja munkari sana mondi mwenyewe alijiona VVIP kokote anapita.
Ata kapicha bac...
 
Huyu diamond hata atakopokuwa anataka kuingia mbinguni atakutana na mkono unaomzuia kama huo uliomzuia leo
 
Hivi na weweee kweli unataka nchi iwe na vichwa vya kiropokajii kwa misingi ya kujenga taifa ....Too bad unakazia ety watz waoga muoga mwenyewe sisi tunaijoy maisha ..Ukitaka stochastic equilibration huwez ipata duniani kotee ni kwa Mungu
Sema watz wengi waoga sana wa mabadiliko, halafu wengi hawatambui haki zao.

Nchi hii ingekuwa na vichwa kumi kama Lisu kila mkoa, ujinga na unyanyasi wa ccm dhidi ya Raia ungekomeshwa mapema sana.

Watz mmezidi unyonge na uoga ndio maana mnachezewa sharabu kila siku.
 
Kinachonichekeshe watu hawataongelea hoja wataongelea wasanii na Mambo ya mitama.

Kinaniuuma vibarua wangu wamebebwa na malori ya CCM kwa ahadi ya 10,000 na tishirt na kofia. Kesho wakirudi ntawaambie waende kuomba kazi CCM kwani tayar uniform wanazo.

Hongereni CCM kwa fiesta nzuri ila clouds mnawaweka kwenye wakati mgumu kibiashara.
Sio haki kuingilia utashi wao, usiwanyanyase mkuu
 
Back
Top Bottom