Diamond Platnumz awa msanii wa kwanza Afrika kufikisha views Milioni 900 YouTube

Diamond Platnumz awa msanii wa kwanza Afrika kufikisha views Milioni 900 YouTube

Diamond Platnumz becomes first African artiste to hit 900 million views on Youtube

1584985588170.png

Diamond afikisha watazamaji millioni 900 kwenye ''Youtube''. amewashinda wanamuziki wengine kama WizKid- 792 million views, Burnaboy 429 million views na Davido 543 million views. Hivi sasa Diamond ana subscriberswapatao 3.2 million.

Hongera sana kwa kazi na uvumilivu wa kujituma.
 
Habari njema kwa wapenda maendeleo. Maendeleo hayana Team kwa sauti ya Magufuli. Habari njema ni kwamba kijana anae liwakilisha Taifa letu katika Tasnia ya muziki kajiandikia historia ya kuwa msanii wa kwanza Afrika kufikisha views 900m You tube.

Nafikiri kuna haja ya watanzania wote kuheshimu mchango wa ndugu yetu huyu bila kujali team za mitandaoni. Nasikitika sana kuona wasanii chipukizi wakilewa sifa wanapo linganishwa na Diamond bila ya kutafakari mafanikio aliyoyafikia Chibu katika muziki. Hivi indicators zote hizi hawazioni na kutambua kuwa katika nchi yetu huyu yupo level ya pekee?

Pongezi kwake mungu ampe ubunifu zaidi katika kazi zake.View attachment 1397163

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera Sana kwake.
 
Namkubali Sana Mzee Mond Mimi , na nawachukia Sana wanaotaman asipate mafanikio , jamaa mpambanaji Sana , kuhusu ujanja ujanja kila mmoja hapa ni mjanja mjanja kwenye harakat zake , hayupo msafi , Ila mwamba namwelewa sana
 
wasanii wa africa nzima+ tanzania, huyo dogo wa tandale wanamsalute huko youtube??

numbisa maoni yako pulizi, bt usije na mapovu yatunze huko huko utaoshea hata nyapu.
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwakel jpm kaz zake zinaonekana pongez kwa awamu ya tano
 
Kuna nyimbo. Rickross kina Chriss hawafikishi views milioni 5 kwa miaka 5 ila wanajaza arenas na maisha yao yanaonekana.

Hao kina Davido Diamond hawakuti kwa mkwanja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond Platnumz becomes first African artiste to hit 900 million views on Youtube

View attachment 1397269
Diamond afikisha watazamaji millioni 900 kwenye ''Youtube''. amewashinda wanamuziki wengine kama WizKid- 792 million views, Burnaboy 429 million views na Davido 543 million views. Hivi sasa Diamond ana subscriberswapatao 3.2 million.

Hongera sana kwa kazi na uvumilivu wa kujituma.
Kujituma kunalipa
..
 
Nadhani ingependeza useme Mwanamziki a
aloko kusini mwa jangwa la Sahara.

Taarifa kam hizi tupende kuzitoa kwa usahihi mana kuna watu wepesi kunasa haya na magumu kubadilika ukweli unapofika.

Ki ukweli jamaa anajituma sana na kwendana na muda unavyo enda.

Alafu hebu ungeitoa hii habari kwenye jukwaa la kimataifa
 
Ni msanii gani kwa africa nzima ana mpita? Maana umekosoa bila kutaja atleast wasanii wawili watatu waliopo juu ya jangwa la sahara ambao wamempita
 
Ni msanii gani kwa africa nzima ana mpita? Maana umekosoa bila kutaja atleast wasanii wawili watatu waliopo juu ya jangwa la sahara ambao wamempita

Kamfatilie SAAD LAMJARRED.
Huyu ana watazamaji 2.4Billion na wafuatiliaji 9.5Milion, ni wa Morocco.
Ndo mana nikasema tuseme kwa wasanii wa kusini mwa jangwa la sahara.
 
Back
Top Bottom