Diamond Platnumz awa msanii wa kwanza Afrika kufikisha views Milioni 900 YouTube

Kuna moja una 811 milion
Bado kuna msanii mwingine anaitwa MOAHAMED RAMADHAN naye ana Watazamaji 2.5billion na wafuatiliaji 8.5million huyu ni wa misri .

Kwa ufupi kwa ma black wa africa Diamond anaongoza kila mahali kuanzia Ista na yuotube
Anaongoza nini bro?.. Hana hata video moja ilofikisha views mil 100...angalia FALL na IF then insta davido ana followers mil 15 na kitu huko mzee
Screenshot_2020-04-03-02-32-35.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna moja una 811 milion
Bado kuna msanii mwingine anaitwa MOAHAMED RAMADHAN naye ana Watazamaji 2.5billion na wafuatiliaji 8.5million huyu ni wa misri .

Kwa ufupi kwa ma black wa africa Diamond anaongoza kila mahali kuanzia Ista na yuotube
Afrika MASHARIKI LABDA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom