Diamond hiyo level ameshaipita sasa hivi ana subcribers million 3+.
Hongera Sana kwake.Habari njema kwa wapenda maendeleo. Maendeleo hayana Team kwa sauti ya Magufuli. Habari njema ni kwamba kijana anae liwakilisha Taifa letu katika Tasnia ya muziki kajiandikia historia ya kuwa msanii wa kwanza Afrika kufikisha views 900m You tube.
Nafikiri kuna haja ya watanzania wote kuheshimu mchango wa ndugu yetu huyu bila kujali team za mitandaoni. Nasikitika sana kuona wasanii chipukizi wakilewa sifa wanapo linganishwa na Diamond bila ya kutafakari mafanikio aliyoyafikia Chibu katika muziki. Hivi indicators zote hizi hawazioni na kutambua kuwa katika nchi yetu huyu yupo level ya pekee?
Pongezi kwake mungu ampe ubunifu zaidi katika kazi zake.View attachment 1397163
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru mungu kuwepo Zama hizi za diamond platnumz+samata +cr7+ mess+magufuli+obama
Hao wako mkuu ..kwanz mm siwafahamuUmewasahau Bashite na Le Mutuz.
Kujituma kunalipaDiamond Platnumz becomes first African artiste to hit 900 million views on YoutubeDiamond afikisha watazamaji millioni 900 kwenye ''Youtube''. amewashinda wanamuziki wengine kama WizKid- 792 million views, Burnaboy 429 million views na Davido 543 million views. Hivi sasa Diamond ana subscriberswapatao 3.2 million.
View attachment 1397269
Hongera sana kwa kazi na uvumilivu wa kujituma.
Hazuungumzii mkwanja,pia usibabaike na mkwanja wa mtu, vyanzo vyao vingine vya pesa ni siri ya mtu .Kuna nyimbo. Rickross kina Chriss hawafikishi views milioni 5 kwa miaka 5 ila wanajaza arenas na maisha yao yanaonekana.
Hao kina Davido Diamond hawakuti kwa mkwanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni msanii gani kwa africa nzima ana mpita? Maana umekosoa bila kutaja atleast wasanii wawili watatu waliopo juu ya jangwa la sahara ambao wamempitaNadhani ingependeza useme Mwanamziki a
aloko kusini mwa jangwa la Sahara.
Taarifa kam hizi tupende kuzitoa kwa usahihi mana kuna watu wepesi kunasa haya na magumu kubadilika ukweli unapofika.
Ki ukweli jamaa anajituma sana na kwendana na muda unavyo enda.
Alafu hebu ungeitoa hii habari kwenye jukwaa la kimataifa
Ni msanii gani kwa africa nzima ana mpita? Maana umekosoa bila kutaja atleast wasanii wawili watatu waliopo juu ya jangwa la sahara ambao wamempita
Kamfatilie SAAD LAMJARRED.
Huyu ana watazamaji 2.4Billion na wafuatiliaji 9.5Milion, ni wa Morocco.
Ndo mana nikasema tuseme kwa wasanii wa kusini mwa jangwa la sahara.