playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
Anaongoza nini bro?.. Hana hata video moja ilofikisha views mil 100...angalia FALL na IF then insta davido ana followers mil 15 na kitu huko mzeeKuna moja una 811 milion
Bado kuna msanii mwingine anaitwa MOAHAMED RAMADHAN naye ana Watazamaji 2.5billion na wafuatiliaji 8.5million huyu ni wa misri .
Kwa ufupi kwa ma black wa africa Diamond anaongoza kila mahali kuanzia Ista na yuotube
Afrika MASHARIKI LABDAKuna moja una 811 milion
Bado kuna msanii mwingine anaitwa MOAHAMED RAMADHAN naye ana Watazamaji 2.5billion na wafuatiliaji 8.5million huyu ni wa misri .
Kwa ufupi kwa ma black wa africa Diamond anaongoza kila mahali kuanzia Ista na yuotube
Kwanini ujampost alikiba ukampost davido?Anaongoza nini bro?.. Hana hata video moja ilofikisha views mil 100...angalia FALL na IF then insta davido ana followers mil 15 na kitu huko mzee View attachment 1407205
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongezea na Corona!Nashukuru mungu kuwepo Zama hizi za diamond platnumz+samata +cr7+ mess+magufuli+obama
1 billion viewers... Hata acheze video ya X hapati robot billion 1.
Sent using Jamii Forums mobile app