Diamond Platnumz awa msanii wa kwanza Afrika kufikisha views Milioni 900 YouTube

Diamond Platnumz awa msanii wa kwanza Afrika kufikisha views Milioni 900 YouTube

Ligaba

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
1,063
Reaction score
2,874
Habari njema kwa wapenda maendeleo. Maendeleo hayana Team kwa sauti ya Magufuli. Habari njema ni kwamba kijana anae liwakilisha Taifa letu katika Tasnia ya muziki kajiandikia historia ya kuwa msanii wa kwanza Afrika kufikisha views 900m You tube.

Nafikiri kuna haja ya watanzania wote kuheshimu mchango wa ndugu yetu huyu bila kujali team za mitandaoni. Nasikitika sana kuona wasanii chipukizi wakilewa sifa wanapo linganishwa na Diamond bila ya kutafakari mafanikio aliyoyafikia Chibu katika muziki. Hivi indicators zote hizi hawazioni na kutambua kuwa katika nchi yetu huyu yupo level ya pekee?

Pongezi kwake Mungu ampe ubunifu zaidi katika kazi zake.
Screenshot_20200323-182254.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom