vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,624
Kweli we kiziwiKaendelee na issue ya ngada, kwani umeitwa huku au kiranga chako tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli we kiziwiKaendelee na issue ya ngada, kwani umeitwa huku au kiranga chako tu.
Kiba kapumzika mziki tena.... Naona hamna jipya... Mwaka sasa..Trend sasa ni ngada hizi nyingine ni zeze. Bad timing. Ila kuna watu mnalipwa kwa kazi ya kuandika thread na kukoment kwa id zaidi ya 20 za mtu mmoja.
hao madogo nadhani ni madansa wa diamond kutafuta tu kiki .wanadhani wapo insta huku watudanganyeTrend sasa ni ngada hizi nyingine ni zeze. Bad timing. Ila kuna watu mnalipwa kwa kazi ya kuandika thread na kukoment kwa id zaidi ya 20 za mtu mmoja.
diamond ameshindikanaMNADANGANYWA MNAKUBALI TU ACHENI UJINGA! AWEKE TAKWIMU YA WASANII WENGINE KILA SIKU NA VIEWERS WAO .
ukweli gani? unajua tupo jf home of great thinkers sawa? tuweke ushabiki pembeni.Yaani we we bhana unabisha hadi ukweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁 Msataaa
na wewe ni mmojawapo, naona unataka kuvunja records nawe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Trend sasa ni ngada hizi nyingine ni zeze. Bad timing. Ila kuna watu mnalipwa kwa kazi ya kuandika thread na kukoment kwa id zaidi ya 20 za mtu mmoja.
yule jamaa anayejiita KING na team yake, Mbona sioni akivunja record hata ya mkoa wa Dar? anavunjia records zake wapi?
Hahaha ona aibuKwa mwaka 2017mpaka sasa....diamond show 1gabon AFCON.....Kibakuli show 1perugina pub DODOMA....so mi naona wako sawa maana wote wamefanya show moja tangia mwaka uanze!
diamond sio kijana wa mchezo mchezo ..