Diamond platnumz aweka record mpya

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Diamond platnumz ameendelea kujiwekea record mpya katika kiwanda cha music africa baada ya nyimbo yake mpya aliowashirikisha Psquare kupata views laki 3 na zaidi ndani ya masaa 19 tangu itoke.
Diamond amevunja record yake mwenyewe alioiweka na nyimbo ya make me sing iliopata views laki 2 na zaidi ndani ya masaa 24.
 
Unashaangaa hii..... viewers laki 3 ndani ya masaa zaidi ya kumi.....
Nicki minaj alikuwa na viewers zaidi ya Million 2 ndani ya masaa mawili katka ile nyimbo yake sijui gani vileeee...... dah nikumbushe mdau ile wanayocheza cheza porini huku chura wakiwa nje,hahaa ni noma
 
Ili mradi tu ujichanganye na sisi tulio na akili, toka huko.
 
Sasa nick minaj na mond wapi na wapi mdau
 
Mkuu shule ulienda kusomea nini? Nimekwambia mziki wa Africa na bongo fleva wewe unaleta story za marekani, nyie ndo mnafeligi shule mnasingizia wamesahisha vibaya kumbe hukuelewa maswali umekurupuka
Yaani equestion iko wazi kabisa nimelimit mziki wa Africa umeshindwa kuelewa? Pole sana
 

we nawe unafananusha diamond na nicki
 
Inaitwa chura anarukaruka
 
Inaitwa Anaconda... Bongo bado tunasifia viewers laki mbili...
Wakati wenzetu viewers mpaka 1b wanafikisha, muziki wetu bado sana!!
 
alafu ikawaje
 
Anaconda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…