ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,417
- 9,604
Anaconda ilivunja rekod ya kuangaliwa Mara 19Million KWA masaa24...ilivunja rekod ilyokua imashikiliwa na Miley Cyrus We Can't Stop ambayo iliangaliwa mara 15M KWA 24hrsUnashaangaa hii..... viewers laki 3 ndani ya masaa zaidi ya kumi.....
Nicki minaj alikuwa na viewers zaidi ya Million 2 ndani ya masaa mawili katka ile nyimbo yake sijui gani vileeee...... dah nikumbushe mdau ile wanayocheza cheza porini huku chura wakiwa nje,hahaa ni noma