Diamond platnumz aweka record mpya

Diamond platnumz aweka record mpya

Na wewe kila thread unakuja na comment hii hii tu. Kama upendi nyimbo za kidunia ukasikilize za kijupiter, unasubiri nini?
Haa haaa haaa, PAGAN utakua umenifananisha
 
Huu wimbo ni kutokoka sayari nyingine.
 
Unashaangaa hii..... viewers laki 3 ndani ya masaa zaidi ya kumi.....
Nicki minaj alikuwa na viewers zaidi ya Million 2 ndani ya masaa mawili katka ile nyimbo yake sijui gani vileeee...... dah nikumbushe mdau ile wanayocheza cheza porini huku chura wakiwa nje,hahaa ni noma
Mkuu, tunaposema Diamond huwa tunalinganisha na wasanii wa ndani ya Afrika na sio hao akina Nicki Minaj unaowasema wewe. Au huyo Nicki Minaj ni muafrika anayefanya kazi zake za muziki ndani ya Afrika?
 
Inaitwa Anaconda... Bongo bado tunasifia viewers laki mbili...
Wakati wenzetu viewers mpaka 1b wanafikisha, muziki wetu bado sana!!
Hiyo 1b inaanza bila kuwa na laki mbili?
 
Haya sasa endeleeni kuumia,baada ya kumfananisha na Kibakuli sasa mmeamia kwa akina Nick minaj. Ndani ya siku nne (4) 1milion + HAIJAWAHI KUTOKEA KWA BONGO NA WALIO Subscribe ni 306,745 CHEZEA CHIBU WEWE, ZINAONGEA FACTS SIO BLAH BLAH KAMA NI KUIMBA HATA BIBI KIDUDE ALIKUWA ANAIMBA.
 
Rekodi Afrika.. kideo kuangaliwa zaidi mil 1 ndani ya siku nne huko youtube. Na kusikilizwa, kupigwa yaani kila kona ni mamilioni zaidi...hahahaaa raha

Kama hujaiona iangalie hapa chini

Make me Sing ilifika 1M kwa siku 10 ikaweka record South Africa maana kibongo tayari Zigo Remix iliweka Record ya Africa kwa siku 7 views 1M. Sasahiv mondi kavunja Record kwa Siku 4 views 1M...
Video zote 3 hapo Mondi kahusika so definitely Mondi ndio mkali wa Views YouTube Africa nzima.
 
Wakati huo huo musisahau kuwa bado anaendeleza shoo za kibabe huko mbele kama jeshi la mtu mmoja huko AUSTRALIA na anajaza kama yupo Darlive ya Mbagala, KUMBUKA NI SHOO YA MTU MMOJA NA SIO TZ WALA SIO AFRICA.
 
Make me Sing ilifika 1M kwa siku 10 ikaweka record South Africa maana kibongo tayari Zigo Remix iliweka Record ya Africa kwa siku 7 views 1M. Sasahiv mondi kavunja Record kwa Siku 4 views 1M...
Video zote 3 hapo Mondi kahusika so definitely Mondi ndio mkali wa Views YouTube Africa nzima.
You're talking only collaboration ila akitoa peke yake inafika mwezi 1m bado stats psquare wameibust Sana nyimbo mbaya ionekane nzuri
 
You're talking only collaboration ila akitoa peke yake inafika mwezi 1m bado stats psquare wameibust Sana nyimbo mbaya ionekane nzuri
Mbona P Square wamefanya video nyingi na watu like Phyno bonge la hit 2 year ago bt stil mpaka leo halijachungulia hata 1M.
Unasema mondi anatoa nyimbo inafika Mwezi mzima M1 haifiki ipi mfano labda? Ongea kwa evidence sio kuropoka
 
Nitajie nyimbo aliyoimba mwenyewe akafikisha hao views ndani ya siku hizo no collaboration no diamond
 
ila video kahujumiwa..director ka copy kila kitu kutoka kwenye video kadhaa za nje kama zilivo...
sijui wana mpango wa kumuhujumu huyu dogo..
 
Msodo Mdogo ilipata Views 1M ndani ya Wiki 2. Haikupita mwezi
And note that jins siku zinavyoenda na matumiz ya internet yanavyoongezeka pia nayy akimantain mziki mzuri. Usishangae akatoa video ndani ya masaa 24 ikapata views Million inawekana mbona video zinazofanya hvo zipo
 
Back
Top Bottom