samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,965
Hivi ni kweli wanavyosemaga watu kuwa " chuki zikizidi matumizi ya akili yanapungua sana" Hii hapa UTANIPENDA .... ilipata viewers 2m ndani ya wiki 2. KUMBUKA HUU WIMBO ULITOA VIDEO ZA AINA MBILI MOJA INATAFSIRI YA KIINGEREZA NA NYINGINE HAINA.You're talking only collaboration ila akitoa peke yake inafika mwezi 1m bado stats psquare wameibust Sana nyimbo mbaya ionekane nzuri
Lakini pia usisahau hao wakina A.K.A NA HUYO A.Y walishawahi kufanya collabo na wengine huko nyuma na hawakupata hao viewers na hata huyo Kiba ameshirikiana na Sauti sol na hawakupata hao viewers kwa muda huo.