Diamond platnumz aweka record mpya

Diamond platnumz aweka record mpya

You're talking only collaboration ila akitoa peke yake inafika mwezi 1m bado stats psquare wameibust Sana nyimbo mbaya ionekane nzuri
Hivi ni kweli wanavyosemaga watu kuwa " chuki zikizidi matumizi ya akili yanapungua sana" Hii hapa UTANIPENDA .... ilipata viewers 2m ndani ya wiki 2. KUMBUKA HUU WIMBO ULITOA VIDEO ZA AINA MBILI MOJA INATAFSIRI YA KIINGEREZA NA NYINGINE HAINA.
Lakini pia usisahau hao wakina A.K.A NA HUYO A.Y walishawahi kufanya collabo na wengine huko nyuma na hawakupata hao viewers na hata huyo Kiba ameshirikiana na Sauti sol na hawakupata hao viewers kwa muda huo.
 
Hapo na nyie mnakoloma tu, mmesema Diamond mwanamuziki, na jamaa kasema nicki ni mwanamuziki pia. Hapo concert ni viewers sio mmarekani wala muafrica msituchanganye. Kwani Africa tuna watu laki 4, kwamba hawezi kupata milioni 2? Acheni kupotesha maana.
 
Jamani huko snapchat ya Diamond ni mrusho wa live shows kama vile mtu upo nao....uwiiii hongera nyingi kwake...

Hadi raha mume wa Zari oyeeeeeee
 
Sasa hizo zako ni kamba, make me sing ni pin ya AKA..
we jamaaa wa wapi duh km huna uhakika wa mambo piga kimya,umeona wap huo wimbo umeandika aka ft diamond?? huo wimbo ni wa wote wawil, A.K.A X DIAMOND kwa maana nyingine collaboration na sio featuring
 
we jamaaa wa wapi duh km huna uhakika wa mambo piga kimya,umeona wap huo wimbo umeandika aka ft diamond?? huo wimbo ni wa wote wawil, A.K.A X DIAMOND kwa maana nyingine collaboration na sio featuring
Naona mama tiffah umekuja juu....
 
Diamond ni bongo fleva na bongo fleva ndio diamond

Namini kwa sasa diamond hana mpinzani. Japo wanataka kumlinganisha na yule mwenye watoto 100 mtaani anitwa kiba hahahahaj
 
Inaitwa Anaconda... Bongo bado tunasifia viewers laki mbili...
Wakati wenzetu viewers mpaka 1b wanafikisha, muziki wetu bado sana!!
Sasa na ww unataka tulingane na wale wamarekani huoni kama ni uchizi kwa Africa diamond kwa view alizofikisha amevunja recodi kwa mda mfupi
 
Mimi nadhano tatizo sio view wangapi maana ni lazima mtu afungue aone lakini ukweli unabaki watu tumeelemea kwenye video kuliko audio ila kama wimbo ni kawaida sana inabidi tujadili wimbo sio video je ume meet expectation. Kwa maoni yangu bila ushabiki sio ngoma kali ya kawaida sana.
 
Hata Magufuli hakupigiwa kura na watanzania wote,ila mwisho wa siku yeye ndio rais wetu waliompigia na wasiompigia,ndivyo hivyo hivyo kwa wimbo huu idadi kubwa imeukubali ukilinganisha wimbo huu na nyingine kwa muda uliotoka. (KUMBUKA KUWA YOUTUBE NDIO MOJA YA KIPIMO CHA MUZIKI MZURI KWA SASA HAKUONGELEWI HISIA)
 
Hapo na nyie mnakoloma tu, mmesema Diamond mwanamuziki, na jamaa kasema nicki ni mwanamuziki pia. Hapo concert ni viewers sio mmarekani wala muafrica msituchanganye. Kwani Africa tuna watu laki 4, kwamba hawezi kupata milioni 2? Acheni kupotesha maana.
Thread inasemaje? Au unakimbilia ku-comment kabla hujasoma? Mleta mada ameandika "....ameendelea kujiwekea record mpya katika kiwanda cha music africa...!" Sasa huyo Nick Minaj muziki wake unaingia kwenye tasnia ya muziki wa Afrika?!
 
ila video kahujumiwa..director ka copy kila kitu kutoka kwenye video kadhaa za nje kama zilivo...
sijui wana mpango wa kumuhujumu huyu dogo..
Bila shaka unamaanisha unaweza kutoa video yenye muonekano wa peke yako (yaani hujawahi kufanyika) IANGALIE NA HII NADHANI HUYU NDIO WAMEMUHUJUMU HASWA.

Kumbuka ukiishi nyumba ya vioo usianzishe ugomvi wa mawe itakula kwako. Lakini pia usisahau kuwa japo unachuki na fulani jaribu kutafuta hoja yenye mashiko mbele ya welevu.
 
Nashukuru now somo limeeleweka vyema kwa watani wetu wa jadi...yaani from kumlinganisha na kiba mpk kwa niki minaji!!hii inadhihirisha ni kiasi gn mondi ni msanii mkubwa Afrika
 
Back
Top Bottom