Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haa haaa haaa, PAGAN utakua umenifananishaNa wewe kila thread unakuja na comment hii hii tu. Kama upendi nyimbo za kidunia ukasikilize za kijupiter, unasubiri nini?
WCB ipo Tanzania iliyopata uhuru 1964Hiyo namba ina simamia nn!?
Mkuu, tunaposema Diamond huwa tunalinganisha na wasanii wa ndani ya Afrika na sio hao akina Nicki Minaj unaowasema wewe. Au huyo Nicki Minaj ni muafrika anayefanya kazi zake za muziki ndani ya Afrika?Unashaangaa hii..... viewers laki 3 ndani ya masaa zaidi ya kumi.....
Nicki minaj alikuwa na viewers zaidi ya Million 2 ndani ya masaa mawili katka ile nyimbo yake sijui gani vileeee...... dah nikumbushe mdau ile wanayocheza cheza porini huku chura wakiwa nje,hahaa ni noma
Hiyo 1b inaanza bila kuwa na laki mbili?Inaitwa Anaconda... Bongo bado tunasifia viewers laki mbili...
Wakati wenzetu viewers mpaka 1b wanafikisha, muziki wetu bado sana!!
You're talking only collaboration ila akitoa peke yake inafika mwezi 1m bado stats psquare wameibust Sana nyimbo mbaya ionekane nzuriMake me Sing ilifika 1M kwa siku 10 ikaweka record South Africa maana kibongo tayari Zigo Remix iliweka Record ya Africa kwa siku 7 views 1M. Sasahiv mondi kavunja Record kwa Siku 4 views 1M...
Video zote 3 hapo Mondi kahusika so definitely Mondi ndio mkali wa Views YouTube Africa nzima.
Mbona P Square wamefanya video nyingi na watu like Phyno bonge la hit 2 year ago bt stil mpaka leo halijachungulia hata 1M.You're talking only collaboration ila akitoa peke yake inafika mwezi 1m bado stats psquare wameibust Sana nyimbo mbaya ionekane nzuri
Nitajie nyimbo aliyoimba mwenyewe akafikisha hao views ndani ya siku hizo no collaboration no diamondMbona P Square wamefanya video nyingi na watu like Phyno bonge la hit 2 year ago bt stil mpaka leo halijachungulia hata 1M.
Unasema mondi anatoa nyimbo inafika Mwezi mzima M1 haifiki ipi mfano labda? Ongea kwa evidence sio kuropoka
Mdogo Mdogo ilipata Views 1M ndani ya Wiki 2. Haikupita mweziNitajie nyimbo aliyoimba mwenyewe akafikisha hao views ndani ya siku hizo no collaboration no diamond
And note that jins siku zinavyoenda na matumiz ya internet yanavyoongezeka pia nayy akimantain mziki mzuri. Usishangae akatoa video ndani ya masaa 24 ikapata views Million inawekana mbona video zinazofanya hvo zipoMsodo Mdogo ilipata Views 1M ndani ya Wiki 2. Haikupita mwezi