Diamond platnumz, baba ni baba tu, rudi kwa baba yako

Ninacho wapa lawama Clouds media ni kumhoji mtu aliye lewa halafu mambo binafsi kwakweli aliyo kuwa ana yaongea yalikuwa hayana tija!
Ndiyo maana kuna mwingine alivaa mask ili asijulikane, nia kumdharirisha mtu pale.
 
Kwahiyo nani anamfyatua huyo mamake diamond sikuhizi?? Anafyatuliwa palepale kwa diamond au akitaka kufyatuliwa anaomba day out ya kwenda lodge??
 
Let's twist this situation.. Ebu tufanye baba yake diamond ndio zari lingemwangukia na kuwa tajiri maarufu hapa Dar alafu huyo Diamond na mamake wangekuwa majalala na bado wapo Tandale, Je, huyuhuyu mazake diamond asingemwambia diamond aende kwa babake kuomba msaada?? Na je tuna hakika gani kwamba babake diamond asingemsaidia??

Lazima tujifunze, kila kitu kinatokea for a reason.. Labda diamond asingekuwa hapo alipo kama angekuzwa na babake
 
Kwahivyo mama diamond alikuwa anachapwa nao au??
 
Hii ya kutelekeza watoto na mama Kisha maisha yakikuendea vibaya unaanza kutafuta huruma kwa watu, ili urudi ktk Familia iliyostawi!!! Kizee kama hicho unapiga mapanga ya kikurya....... Unataka kuanza kumtomasa tomasa bimkubwa???
 
umeongea point.
Kwani kitendo cha kumsamee si kumwambia nimekusamee...sasa swala la kumjali na kumshirikisha kila jambo la kifamilia ni issue nyingine. Huyu mzee inaonekana hana nia njema kwa mwanae...njaa ndo imemrudisha kwa mwanae.
Nakushari Diamond msaidie pale utakapoona moyo wako unautayari ila sio kusikiliza maneno ya media.
Huyu mzee anazingua sana na akizidi kukuchafua kwenye media mchimbe hata mkwara.
 
Diamond amewahi kuimba kuwa huyu mzee alimkataa..sasa Kama alimkataa lini amegundua ni mwanae???..Kama ni hivyo huyu mzee hakuwahi kumkosea diamond bali alimkosea mama wa diamond.. Sasa anamlilia nn kijana wa watu
 
Mkuu kwani baba yake diamond yuko wapi mbona naskia sio huyo et baba yake yuko arusha? Au ni redio za mbao naskia yuko mto wa mbu nd ni tajiri na anauwezo sana .
 
Mkuu kwani baba yake diamond yuko wapi mbona naskia sio huyo et baba yake yuko arusha? Au ni redio za mbao naskia yuko mto wa mbu nd ni tajiri na anauwezo sana .
Mimi mwenyewe sijui hizi mambo za waswahili mkuu
 
KAbisa kabisa rudi kwa baba yako Diamond umtunze inavyosatahili kutokana na mapato yako> Km unaweza saidia watu baki sembuse baba yako. Jifunze kwa Christiano Ronaldo nadhani. Mama yake alitaka toa mimba yake lakini hajaweka kinyongo anamtunza mama yake kama kawa!
 
Apeleke DNA test results kwanza huyo Mzee Abdul sio anataka kubambikiwa mtoto kilazima....sio mwanae yule..
 
Siku wakiTUSUA na HAWA BABA ZAO Ndipo WATAKAPOJITOKEZA.
 
Leeni kwanza watoto wenu

aU wameJIZAA WENYEWE.
 
Kuna watu wengine sijui mnadhani kuna binadamu wanaroho ya KIMUNGU.NGONO MLIFANYA WENYEW LEENI WATOTO WENU.Msisubiri wakifanikiwa ndo mjitokeze.Mnasema tu UNAFIKI MTUPU.Hamjui UCHUNGU HUU.
 

We kaka wewe mwisho wake utakua mbaya we wa kwako ushauona utakuaje? Kisa cha kumuombea mwenzio mabaya ni nini?? Fact kwamba ni msanii anaejulikana doesn mean he is not human. Ana feelings tu kama binadamu wengine and bound to make mistake mwisho wa siku we all pray we get the chance to regret before it's too late. Wewe, mimi na kila mtu. Sasa kujitia Sheikh Yahaya na kuuona mwisho wa mwenzio UKOME. Im sure ungekua ushauona mwisho wako usingekaa uandike utumbo wako hapa. He helps his dad, the dad himself confessed. The rest vitakuja polepole dont force him into things you dont understand exactly why they are happening yourself. Mwisho kabisa baba yake vividly anamuombea mwanae mwisho mwema wewe kama nani ujitie kumtia nuksi..Otherwise ni mambo yao ya kifamilia vingine waachie wenyewe..
Na maumivu ya kizidi nenda kamuoe esma basi ili muwe ndugu uweze changia vizur wakakuskiliza hahahahahahahha
 
acha akipate cha moto,ubaba hauishii kumwaga sperms tu,ubaba ni malezi,kama baba hakuwepo pindi diamond anamuhitaji the most,why diamond awepo kwenye maisha ya baba yake now?Diamond hakuna kurudi nyuma na kumsamehe siyo lazima umsaidie
Dah
 
gosh!!!!!!!!!!
ina maana walimfanyia interview baba akiwa kalewa?
nani aliye wapa kibali icho? hakya mama kama ndivyo diamond akawashtak. imagine inabaki kwenye archives zao for years.......hii ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…