Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,550
- 5,379
Ndiyo maana kuna mwingine alivaa mask ili asijulikane, nia kumdharirisha mtu pale.Ninacho wapa lawama Clouds media ni kumhoji mtu aliye lewa halafu mambo binafsi kwakweli aliyo kuwa ana yaongea yalikuwa hayana tija!