Ilu
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,198
- 1,648
Wewe wasema na hayo ni maoni yakoInawezekana mama yako alikua na maneno machafu kwa baba yako fanya uchunguzi kabla hujahukumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe wasema na hayo ni maoni yakoInawezekana mama yako alikua na maneno machafu kwa baba yako fanya uchunguzi kabla hujahukumu
Huwez jua ya moyoni ndugu, kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyeweDiamond; rudi kwa baba yako kijana kabla yupo hai, akija kuondoka duniani hatuombei ila ataondoka na kinyongo na wewe, Hivyo hutakua hapo ulipo. Watu wanakudanganya eti hata akikulaani haikupati sio kweli kabisa baba ni baba tu. Hata vitabu vinasema watii wazazi wako hao ndy mungu wa duniani. Pia mama Diamond hivi unajisikiaje kua na maisha mazuri wakati uliezaanae anapata taabu! wewe ndy ulie takiwa kumsema mwanao amtunze baba yake? Inamaana wewe hukuwahi kufanya kosa na ukasamehewa?
Au huyo baba asinge fanya jihudi za kukupata ungempata huyo mtt?
Well...a responsible father hawezi kuishia kwenye fertilisation yapaswa awe part ya process yote kuanzia mimba hadi mtoto akue.acha akipate cha moto,ubaba hauishii kumwaga sperms tu,ubaba ni malezi,kama baba hakuwepo pindi diamond anamuhitaji the most,why diamond awepo kwenye maisha ya baba yake now?Diamond hakuna kurudi nyuma na kumsamehe siyo lazima umsaidie
Hata mm ilinichukua muda sana kumsamehe baba yangu ingawa bado mpaka leo anaishi na mama. Baba ambae hafanyi majukumu yake kwa mtoto wanaumiza sana watoto kisaikolojia. Naelewa jinsi diamond anavyojisikia kuhusu baba yake. Inahitaji neema kumsamehe irresponsible father.
Kwa hiyo na sisi tunamkosea Mungu asitusamehe km kuna makosa ya moyo tunafanyaJamani kuna vitu mtu anapenda kusamehe ila vingine siyo kusamehe ni swala la moyo
Kweli kabisa mkuu Umesema jambo la maanaDiamond; rudi kwa baba yako kijana kabla yupo hai, akija kuondoka duniani hatuombei ila ataondoka na kinyongo na wewe, Hivyo hutakua hapo ulipo. Watu wanakudanganya eti hata akikulaani haikupati sio kweli kabisa baba ni baba tu. Hata vitabu vinasema watii wazazi wako hao ndy mungu wa duniani. Pia mama Diamond hivi unajisikiaje kua na maisha mazuri wakati uliezaanae anapata taabu! wewe ndy ulie takiwa kumsema mwanao amtunze baba yake? Inamaana wewe hukuwahi kufanya kosa na ukasamehewa?
Au huyo baba asinge fanya jihudi za kukupata ungempata huyo mtt?
Binadamu kwa ukatili!!!!!!!Tena Diamond ana huruma sana!!
Huyu mzee angetakiwa awe jela kaolewa na nyapara flan amazing atulie kabisa!!
Mpaka ukielewa what happened then u will change n be in a position to judgeNimeona interview ya clouds tv na mzee platnumz, kweli jamaa kachoka. Huyu ni baba yake na mwanamuziki matata nchini Diamond Platnumz.
Kama alikukosea wewe na mama yako, mbona ameshasema mumsamehe? Bila ya yeye Diamond asingekuwa alivyo sasa. Hivyo inatakiwa Diamond awe na moyo mkubwa wa kusamehe mtu ambaye ameshaomba kusamehewa. Binadamu tuna mapungufu na ni ujasiri ulioje kukubali kuwa umekosa na kuomba kusamehewa. Diamond ni kioo cha jamii, awe na moyo wa kusamehe. Pia kwa Queen Darlin, baba yenu kawaomba msamaha wote. Msaidieni. Nadhani kwa kiasi fulani anaweza akawa mtu wa 'sembe'.
P.s: Sikujua kama Diamond na Queen Darlin ni mtu na dada yake. Wanashea baba, tena huyu aliyehojiwa na Clouds Tv Weekend chat.
TATIZO La WATANZANIA Kupenda Kuweka Mbele Chuki Zetu BINAFSI Ktk Issue Sensitive!! KWANI Wkt Huyo Mzee Anakula Raha Na Kushindwa KUWAPATIA Msaada Walau Wa Yale Mahitaji Muhimu Kwa BINADAMU, Alizuiwa Na Nani!!?? HIVI Angekuwa Amekubali Kuwa Yeye Ndiye Baba Mzazi Wa Diamond Na KUKUBALI Kumtunza Mtt Wake, Hata Kama Walikosana Na Mzazi MWENZAKE, NANI Angemzuia Kutoa Matunzo Kwa Mtt Wake!!! LKN Yeye Alikwepa Majukumu Ya Kumtunza Mzazi Akiwa Mjamzito Na Hatimaye Mtt!! AKAENDELEA Kula Bata Tu, Na Nilivyomuona Na Kumsikia Ni MHUNI Wa Mjini Tu!! Maneno Ya KISELA Tu!!! So Ameleta USELA MAVI!!! PIA Kama Diamond Angekuwa Hana AKILI Za KUONA Na KUFAHAMU, Kuwa Babake Yupo Hai Na UWEZO Kiuchumi Tu!! MBAYA Zaidi Ni Pale Mtt Anaposhindwa Kupata Hata VIFAA Vya Shule Na Chakula!!! HUKU Ukiambiwa Babako Yuko Hai Tu Na Ana Kauwezo!! ILA Waliwakataa Tokea Mimba Hadi Leo Hii!! Mtt / Wtt Wanaona Mama Yao Anavyotaabika Kuwalea!! LEO Baada Ya Mtt KUPATA MAFANIKIO KWA UWEZO WAKE MUNGU, ETI Baba Ndio ANAJITOKEZA Na Kusema Mi Ndiye Babake!!! PUMBAVUU!!!! WKT Ule Life Taiti Ulikuwa Mbali, Ila Kipindi Cha Neema Unajitokeza!!!!! ALAFU Unataka Upatiwe Huduma, Ambazo Ww Ulizikimbia Kuzitoa!!! ALAFU WATANZANIA Kwa CHUKI BINAFSI Tu, Wanamuona Mtt Ndiye Mshenzi!!!! MTAKUWA Hamtendei Haki Diamond Na Wtt Wooote Waliokataliwa Na Baba Zao Tokea MIMBA, Hadi Walipopata Mafanikio!!!! UZURI Yule MSELA AMEKIRI Mwenyewe, Kuwa Ktk Issue Za Kuwasiliana Na Kumpatia PESA Halina Tatizo, Diamond Analifanya!!!! JE Ww Ulitaka Diamond Afanye Lipi Zaidi!!!!?? ACHENI CHUKI ZENU BINAFSI, KTK ISSUE SENSITIVE!! WATU Wengi Wanafanya Huo UJINGA Alafu Wanakuja KUOMBA MISAADA KWAO!!!!Diamond mwisho wake mbaya sana atakuja juta amzarauye babaye maisha yake ni kama tone la maji huwezi kujua mapenzi ya baba yako na mama yako yaliingia dosari gani kwa mwanaume mwenye akili hayo mambo usiyaingilie unatakiwa uyakwepe usukubali kujumuishwa humo inahitaji akili sana sababu ni rahisi sana kwa mama kumwaminisha mtoto mabaya ya baba yake kuliko baba kumwaminisha mtoto