Diamond Platnumz badili mwenendo before it’s too late!

Unamkumbuka mwanamuziki Ammy Winehouse? Unafahamu ameishi kama mtumiaji mkubwa wa dawa za kulevya kwa muda gani kabla ya kifo chake?

Ammy alionesha tofauti kubwa katika utumbuizaji wake kwenye show yake ya mwisho kabla ya kifo chake ambako alitumbuiza kwa dakika hamsini tu.

Ambayo alionesha kuwa mwenye tatizo kubwa la kusahau sana ambapo alisahau mashairi ya nyimbo zake na hata majina ya wasanii wake. Hiyo ni show yake ya mwisho kabla ya kifo.

Ova
Nipe sasa indicators ulizoziona kutoka kwa Diamond
 
Kwasababu yeye ni star huenda mjadara huu ni sehemu ya success (kama star lazima uzungumziwe) huenda hatumii ila yeye au wapambe wake wanafikisha ujumbe kuna majukwaa wanakujadili basi anacheeka.

Ila mind you... bro Naseeb kama kweli unatumia utatutia aibu vijana wa Tanzania sijui tutajificha wapi kwa Wakenya.
 
Akivuka umri alioushindwa ivan atakua na bahati sana. Chai jaba ua jeusi lilimchanganya sana hakutegemea kutoswa ndo maana hadi wa leo anamkana yule mtoto aliyesababisha valentine yake iwe ovyo.

Ustaa una gharama kubwa sana,wanaofaidi matunda yake ni watu wa pembeni ,yeye kutwa stress tupu kubuni mbinu za kubaki juu na kuongelewa daily
Duhhh umenichanganya sans sihaelewaa mara umri mara ivan mara yule mtoto mara valentine mara nini duuuuh umeniacha korogwe
 
Nipe sasa indicators ulizoziona kutoka kwa Diamond

Mimi na wewe tutarudisha nyuma mjadala kama nitakubali kufanya hicho ambacho unanitaka nifanye. Kwa sababu tangu mjadala unaanza zinaelezwa.

Kama ukizitaka zirejee kwa kuzisima kwa waliotutangulia kwenye mjadala. Samahani, mimi sitazirudia kuzitaja tena hapa ndugu yangu.

Huna hoja na pia ungerejea pia post za nyuma.
 
Kwa mtu aliyefika ulaya atajua nini maana ya madawa ya kulevya wanatumia watoto vijana na wazee na ukiwauliza watakueleza faida zake tu hasa ya kujiona hapo ulipo una talent gani bila kusubiri mentor akuone na wengi wa watumiaji wana akili sana tena kwa kufikiri kwa haraka ila ndo inahitaji uwe stable kiuchumi kwa mtu kama Diamond haki yake
 
Nipe sasa indicators ulizoziona kutoka kwa Diamond
Sasa mtu amekutolea mfano wa mwanamuziki mkubwa ambaye aligundulika kutumia madawa ya kulevya mwishoni kabisa mwa taaluma na maisha yake, unaulizia indicators kwa Diamond ambaye ndio ameanza kutumia?

Ndio maana ya huu uzi inapokuja sasa.
Waungwana hatutaki Diamond afikie huko, tunatoa tahadhari kabla ya mambo kuharibika… before it’s too late!
 
Wewe unaongea kama ni kweli anatumia wakati nikosoma maelezo yako hayaoneshi ushahidi kwa unachoongea sababu zenyewe mnazotoa ni za kitoto sijui kakonda, mwingine anasema sijui nyimbo anazotunga, sijui kachanganyikiwa sasa mkuu wewe upunguaji? labda angekuwa ni mnene alafu angepungua sana angalau hapo, Hakuna wakati unafanya jambo la ajabu ukiwa na stress? Mwingine anasema nyimbo anazotunga now zina matusi lakini anasahau huyo huyo kaachia Zuwena na Yatapita nyimbo ambazo zina ujumbe mzuri na wala hazina matusi.

Kinachomfanya diamond achoke ni hard worker yake hapati muda mwingi wakupuumzika juzi tu kaenda kufanya show Kenya kaperform masaa ma3 jukwaani kesho yake ambaye ni jana karudi tz kaenda kufanya show kahama nakaperform masaa ma3 tena kamaliza show alfajiri akitoka hapo anarudi tena kuendelea na majukumu ya media yake na kusimamia label yake ya Wasafi hivi mnazani kuendesha vitu vingi kwa pamoja ni kazi ya kitoto? Hivi The Undisputed hivi hawa wanaelewa hivi vitu kweli?
 
Masaaa 3 haya haya au kuna mengine
 
Sasa mtu amekutolea mfano wa mwanamuziki mkubwa ambaye aligundulika kutumia madawa ya kulevya mwishoni kabisa mwa taaluma na maisha yake, unaulizia indicators kwa Diamond ambaye ndio ameanza kutumia?

Ndio maana ya huu uzi inapokuja sasa.
Waungwana hatutaki Diamond afikie huko, tunatoa tahadhari kabla ya mambo kuharibika… before it’s too late!
Kwa hiyo nyie wenyewe hamjui hizo ishara mlizoona bali mnakisia tu
 
Back
Top Bottom