Diamond Platnumz badili mwenendo before it’s too late!

kaimu lazima awepo lakini haimzuii yeye kutekeleza majukumu yake ya mkurugenzi
Kuna walakini hapo, au ana ulimbukeni fulani. Mtu mpaka afya yako izorote kwa kufanya kazi kama punda na uwezo wa kuajiri watu wenye weledi (management) anao na naamini wapo haiingii akilini Mkuu.
 
Tulimpoteza Ruge na mpaka sasa hatuna mtu wa aina yake. Kuna watu wanapoibuka kwenye jamii zetu hizi ambazo bado zipo nyuma ni vizuri kulindwa kama nyara za serikali.

Mtu ambaye anaweza kumsaidia Nasseb kwa haraka na kusikilizwa ni Paul Makonda!
 
Tulimpoteza Ruge na mpaka sasa hatuna mtu wa aina yake. Kuna watu wanapoibuka kwenye jamii zetu hizi ambazo bado zipo nyuma ni vizuri kulindwa kama nyara za serikali.

Mtu ambaye anaweza kumsaidia Nasseb kwa haraka na kusikilizwa ni Paul Makonda!
Mkuu, suala la kumsaidia mtuamiaji wa madawa ya kulevya linaanza na mtumiaji mwenyewe, je yuko tayari kusaidika?
Yuko tayari kuacha?
Hata Rais aingilie kati kama hana utayari wa kuacha ni kazi bure.

Mimi kwa kulijua hilo sikutaka kumlaumu yeyote aliye karibu yake ikiwemo familia. Muhusika ndio hasa anatakiwa kubadilika kwanza ndipo asaidike.
Kwa maana ya kwamba aamue mwenyewe kuacha, hili ni suala la saikolojia ya mtumiaji zaidi.
 
 
Shida ni kuwa watu mmefanalise kuwa anatumia dawa za kulevya ila side effects mnazoziona mnawataja kina cheed au Amy kwa Diamond mnabaki kusema tu amekonda, anasuka rasta, anavaa km wasanii wa mbele kuwa hana muonekano. Tutajieni na side effects mlizoziona kwa Diamond tujue tunamsaidia vp na sio kutuambia kuwa mashairi yake ya kijinga kuwa aimbi km Jaymelody
 
Naombea isiwe kweli.

Yani kuhangaika kote aje aishie humo jamani [emoji22][emoji22]
Hakuna ukweli wowote ule shida watu wanamuona km Ali kiba kuwa anaingia studio tu nakuimba yaani ni mwanamuziki tu ila wanasahau majukumu yake mengine.

Diamond anafanya muziki biashara na pia atanue wigo wake Africa na duniani sidhani km Ali kiba ana hizo ndoto maana tungeona movements zake.
 
The Undisputed
Ingekuwa ni hivyo wasanii wote wanaomiliki record label wangekuwa na afya dhoofu.

Ndo maana nilisema pia huenda pia ni limbukeni maana kama mpaka afya yako inazorota kisa majukumu sasa hicho unachokipambania utakifaidi vipi sasa ikitokea umepoteza maisha au huwezi tena kuwa na nguvu ya kutimiza hayo majukumu?

Au kuna changamoto extraordinary anazopitia ambazo wasanii wengine wanaomiliki labels hawazipitii? Kama unazifahamu itapendeza ukizitaja ili tuzijue.
 
Mfungwa wa madawa ya kulevya kwa kawaida huwa hana maamuzi yake binafsi ya kuacha maana ni mfungwa tayari!! Inahitaji afunguliwe!! Kama Platinumz atapitia post hii, namshauri amtafute mwamba wa miamba yote aitwaye YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI!!! Ampokee YESU kama BWANA na MWOKOZI wa maisha yake!! Baada ya hapo ataokoka na kuwa kiumbe kipya!! Na atapata mwongozo wa namna ya kuishi maisha baada ya hapo!! Akihitaji ushauri binafsi namkaribisha pm!! Yesu hashindwi kitu!!
 
Em ww kwanza anza kuthibitisha afya yake ilivyozorota, toa hizo facts kwanza
 
JK alimuokoa Ray C huku bado akiwa hajitambui. Kuingilia ni kutumia influence ili akubali tiba na tiba ni mambo mengi ikiwemo saikolojia. Huyo kwasasa haoni kama anaingia shimoni na jamii ikisubiri ajitambue hiyo siku haitakuja au itakuja too late.
 
JK alimuokoa Ray C huku bado akiwa hajitambui. Kuingilia ni kutumia influence ili akubali tiba na tiba ni mambo mengi ikiwemo saikolojia. Huyo kwasasa haoni kama anaingia shimoni na jamii ikisubiri ajitambue hiyo siku haitakuja au itakuja too late.
Ray C hata baada ya JK kuingilia kati alirudi kutumia tena, ni hadi alipoamua mwenyewe kuacha.
 
Nawashangaa sana watu humu, nawashangaa wote pamoja na Mleta mada nakushangaa sana...

Huyu jamaa Diamond kabeba maunga ya kutosha kuwafikishia binadamu wenzake kawaharibu, Hilo hamlioni eti Sasa mnaumia Kwa Yeye kutumia...

Mko serious ama mnatania?

Unajua ni watu wangapi keshawaua kiroho Kwa hayo matakataka alikuwa akibeba?

Mnamuhurumia mtu asiye na mipaka ya kimaadili nashangaa huu unafiki humu jukwaani Nifah
 
 
 
Kusoma hujui picha huoni?

Kwani wewe mpaka unasema anakuwa hivyo kwa kutingwa na majukumu na shows hoja ilikuwa ni nini?
Mimi kusoma sijui na wala picha siioni, aya toa side effects ulizoziona kutoka kwa Diamond. Mbona kwa ray c au cheed mnatoa ila kwa Diamond mnakuwa wakali. Ww acha maneno thibitisha hoja yako kwa ushahidi au hadi na ww tukufuate kwenye app
 
Mimi kusoma sijui na wala picha siioni, aya toa side effects ulizoziona kutoka kwa Diamond. Mbona kwa ray c au cheed mnatoa ila kwa Diamond mnakuwa wakali. Ww acha maneno thibitisha hoja yako kwa ushahidi au hadi na ww tukufuate kwenye app
Si hamtaki aambiwe. Subiri afike hatua ya kama ya Chidi. Na hata akifika huko nahisi utaulizia majibu ya mkojo wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…