Diamond Platnumz badili mwenendo before it’s too late!

Kwanza tuwekane sawa hapa, Unachopinga wewe ni kuwa hatumii au bado hayajaanza kumletea madhara, au unapinga
Kwanza tuwekane sawa hapa, Unachopinga wewe ni kuwa hatumii au bado hayajaanza kumletea madhara, au unapinga vyote?
Ndugu acha ngenga, ww umesema Diamond anatumia madawa ya kulevya, aya leta proof, vithibitisho na sio ngonjera. Toa ushahidi maana ushahidi hamtoi mnakimbilia kumtolea mfano cheed.
 
The Undisputed kupoteza uzito ambao ye mwenyewe alilalamika haelewi chanzo,

Fatigue ambayo mnasema majukumu yamembana

Weird facial expressions, ukiangalia muonekano wake sasa hivi na alivyokuwa miaka kadhaa iliyopita kama ushakaa na addicts utaelewa,

Pia unywaji wa syrup kama vile ni soda (bila kutumia kipimo) ni drug abuse pia.

Madhara zaidi endelea kusubiri muda siku zote husema ukweli.
 
Ww hujawahi pata fatigue? Alaf unasema fatigue wakati unamuona mara kwa mara kwenye stage je uliwawahi kumuona kwenye stage kapata hiyo fatigue au uliwahi sikia kuna show yake imekuwa cancelled kwa ssb za kiafya?

Weird facial expressions km zp, yaan ww ulikuwa unataka sura ya Diamond wa miaka 20 iwe kama sasa ambapo ana miaka 30+ seriously?

Syrup? Mkuu ni nn maana ya syrup? Maana syrup inaweza kuwa virutubisho ambavyo uchanganywa na vinywaji mbalimbali na zipo syrup za aina tofauti eg honey syrup na maltose syrup. Kwann syrup, mojawapo ya faida ya syrup ni kuupa mwili nguvu husasan kwa watu ambao wanatumia matumizi makubwa ya nguvu, nadhani kazi ya Diamond ipasavyo.

Kupungua kilo, ww lini umewahi kumuona Diamond kanenepa kawa kibonge km alivyo harmonize? Kazi yake jukwaan na ubunifu wake katika sanaa na majukumu yake km mkurugenzi bado unategemea anenepe? Kuwa serious ndugu, moja wapo ya njia ya kupunguza zaidi unene ni kucheza muziki eg gym dancing classes na Diamond for decade, zaidi ya miaka 10 anacheza kwenye majukwaa kuliko msanii yyte yule bongo na ww bado unasubiri mtu anenepe.

Zama ndichi tena uje hoja zenye akili na sio mihemko km hii
 
Sio kesi Mkuu, tukubaliane kutokukubaliana🙌
 
Zaidi ya miaka kuwa on top of the game, umewahi kusikia sauti yake ina koroma km harmonize ilivyomtokea mtwara kule, yupo hapo alipo kwa kuujali mwili wake na sio ngonjera labda kwa hoja nyingine utanishawishi ila sio hizi.

Maana katika wasanii wa bongo fleva hakuna ata msanii mmoja anamfikia Diamond kwa ubusy/majukumu maana hao kina Ali, harmonize, Ray kusimika majina yao kwenye medani ya muziki Africa wameshindwa mbali na kuzikuza label zao. Si kipaji tu kimemfikisha ni mambo mengi
 
Ww hujawahi pata fatigue? Alaf unasema fatigue wakati unamuona mara kwa mara kwenye stage je uliwawahi kumuona kwenye stage kapata hiyo fatigue au uliwahi sikia kuna show yake imekuwa cancelled kwa ssb za kiafya?

Weird facial expressions km zp, yaan ww ulikuwa unataka sura ya Diamond wa miaka 20 iwe kama sasa ambapo ana miaka 30+ seriously?

Syrup? Mkuu ni nn maana ya syrup? Maana syrup inaweza kuwa virutubisho ambavyo uchanganywa na vinywaji mbalimbali na zipo syrup za aina tofauti eg honey syrup na maltose syrup. Kwann syrup, mojawapo ya faida ya syrup ni kuupa mwili nguvu husasan kwa watu ambao wanatumia matumizi makubwa ya nguvu, nadhani kazi ya Diamond ipasavyo.

Kupungua kilo, ww lini umewahi kumuona Diamond kanenepa kawa kibonge km alivyo harmonize? Kazi yake jukwaan na ubunifu wake katika sanaa na majukumu yake km mkurugenzi bado unategemea anenepe? Kuwa serious ndugu, moja wapo ya njia ya kupunguza zaidi unene ni kucheza muziki eg gym dancing classes na Diamond for decade, zaidi ya miaka 10 anacheza kwenye majukwaa kuliko msanii yyte yule bongo na ww bado unasubiri mtu anenepe.

Zama ndichi tena uje hoja zenye akili na sio mihemko km hii
shida ni moja wengi ni bendera upepo unakuta hata show yake 1 bado anajikuta mjuaji Tuff414 ungejipa muda hata kidogo ungefuatilia shows za mondi jukwaani namna anavyotumia energy kubwa kuimba at the same na anacheza na masaa anayotumia kufanya show usingekuja na hoja zako za kijinga hapa
 
Sawa mkuu, kama kufanya show kwa kutumia nguvu kubwa kuimba na kucheza ndo kigezo chako basi he's the healthiest musician kuliko wote Tz. We amini unachoamini na mi nibaki na ninachoamini.
 
Angekuwa amedhoofika kama unavyoona asingekuwa ana uwezo jukwaani
 
Mond sembe anabwia very sad, hata ukimuona tu.. miaka miwili ni mingi atakuwa kibabu. Pesa sio kila kitu
 
Ww hadi unaingia kaburini huwezi kubang na Diamond labda useme kingwendu ww unampa ushauri unashindwa kujipa ww mwenyewe ushauri wa mafanikio na ww ujue nitolee makamasi yako hapa

[emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Kuna video alipost juzi insta,akielezea namna ratiba yake inaweza kubana katika siku kadhaa mfululizo,kiukweli anachoka sana. sio ile ya maigizo.anachoka anadevela.

Uchovu ambao sio kahawa wala azam energy inaweza ukata,bali vumbi la gharama peke yake.

Kwa hatua aliyofikia sioni kama kuna haja ya kuendelea kukomaa abaki juu,anaweza kutulia tu sasa akazila mbivu kwa heshima zote,Mungu amsaidie.
 
Diamond, ame inspire sana aailimia kubwa sana ya vijana. Kama kuna waliomzunguka wamuoneshe hili bandiko, litamwamsha kiasi fulani. Ustaa una mambo mengi sana, na ili utulie kuingia huko ni rahisi sana.

Kama kijana mwenzetu, bado una nafasi kubwa tu ya kuchange.
 
Back
Top Bottom