Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Hukua na haja ya kuandika hii aya kabisa. Lakini pia kwakua umeandika nami ninalo la kusema hapa. Kulingana na uzito wa chanzo chako cha taarifa ni imani yangu kwamba wewe unayo nafasi kubwa kukishawishi chanzo chako cha taarifa kianze utaratibu wa kumsaidia kabla ya ku address huku. Kama lengo ni kumsaidia fanya ivyo dadaSiko hapa kubishana wala kumshawishi yeyote akubaliane na chanzo changu, mimi mwenyewe ndio naujua uzito wa chanzo changu hicho nyeti. Kiufupi ni kwamba chanzo changu hiki kikiniambia kesho nitafariki naanza kabisa kutubu!