Rwankomezi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 3,285
- 2,636
Hayo mawazo yako na chuki zako binafsi.Kwani wasanii wote waliotamba wana dance zao binafsi?
Hebu nitajie dance binafsi ya Burnaboy,Patoranking,2 face Idibia?
Eti,msanii hana jipya,hana jipya kwako,msanii na show zaidi ya 90 karibia kila mwaka,hebu nitajie wasanii watano tu Africa wenye utitiri wa show kama Diamond.
Makonda ana mchango gani katika kupeleka mziki wa Diamond mbele?
Mbona Steve Nyerere na Bongo movie kila siku wapo na Makonda lkn hamna hata mmoja aliyefikia level za Kanumba.
We jamaa inaelekea sio mfuatiliaji wa game! Ina maana umeshasahau au hufahamu Wasanii wa Kenya walivyolalamika kwenye show ya Mombasa baada ya Media za Kenya kufichua Mondi alilipwa KSH 5M wakati wasanii wa Kenya hakuna hata mmoja aliyekuwa amelipwa angalau nusu ya hiyo 5M. And man, hiyo ni 5M ya 🇰🇪 kwahiyo piga mwenyewe hesabu kwa pesa za madafu! Hadi Bodi ya Filamu ya Kenya na wenyewe wakaanza figisu kwamba Diamond analipwa pesa nyingi sana Kenya lakini hailipi kodi! Back in the days, huko huko Kenya ikatolewa orodha ya wasanii wanaolipwa mkwanja mrefu zaidi kupitia "COSOTA" ya Kenya! Hapo napo Diamond alikuwa at the top of everyone else including Kenyan Musicians! Na sio tu alikuwa on top of everyone bali pia aliwaacha mbali!Ndiyo wabongo mnavyodanganywa hivyo kirahisi rahisi tu mnakubali.
The problem, kwa kuangalia maelezo yako inaonekana hata tafsiri ya ushamba huijui!Unaweza kuwa na hela ukawa mshamba vilevile.
yamoto kuwa kama Beatles ni hadithi za Kobe kumzidi mbio sunguraHayo mambo binafsi yanaingiaje? Na mimi sijaongelea issue binafsi za Diamond nimeongelea fani yake tu. Kipaji anacho na ni mtu wa kujituma sana, kasoro ndogo ndogo za kiutendaji zinamkwamisha.
Sanaa bongo inaendeshwa na watu wasio sahihi. Yamoto ingeweza kuwa kama Beatles (kama umewahi kuisikia) ukanda huu ila sijui imefia wapi.
UsimshabikieKwahiyo?
U male au femaleJamaa kwanza kwenye uvaaji tu bado sana. Na tena afadhali ameacha kuvaa kofia za baridi wakati yuko Madale anatandikwa na jua kali, ilikuwa ni aibu.
Tuje kwenye uimbaji. Kila siku habari za mapenzi tena matusi. Hata kina Michael Jackson wameimba nyimbo za maisha kiujumla, yeye anataka kukaa kimya.
Tuje kwenye uchezaji. Diamond hajaweza kuwa na dance style yoyote iliyotrend Afrika. Kila siku anacopy style tena ambazo zimeshachoka.
Beyonce hakukosea. Bila nguvu za Makonda na CCM, Diamond ni kama Jux tu.
Inashangaza eti kuna mtu anamuweka level moja na Davido!!
Ningetoa ushauri ila sidhani kama utapokelewa kwa mikono miwili.
NYONGEZA: Sina chuki binafsi na Naseeb ila naona kipaji chake hajakitumia kikamilifu. Hana washauri wazuri. Washauri wenyewe nao sasa hivi wako busy wanagombania umaarufu huo huo.
Bado Nakupenda.Usimshabikie
Mimi au Diamond?Bado Nakupenda.
Kumbe wewe ndo seven mosha manager wa kiba 100 ahaaaaah go and sleep.Jamaa kwanza kwenye uvaaji tu bado sana. Na tena afadhali ameacha kuvaa kofia za baridi wakati yuko Madale anatandikwa na jua kali, ilikuwa ni aibu.
Tuje kwenye uimbaji. Kila siku habari za mapenzi tena matusi. Hata kina Michael Jackson wameimba nyimbo za maisha kiujumla, yeye anataka kukaa kimya.
Tuje kwenye uchezaji. Diamond hajaweza kuwa na dance style yoyote iliyotrend Afrika. Kila siku anacopy style tena ambazo zimeshachoka.
Beyonce hakukosea. Bila nguvu za Makonda na CCM, Diamond ni kama Jux tu.
Inashangaza eti kuna mtu anamuweka level moja na Davido!!
Ningetoa ushauri ila sidhani kama utapokelewa kwa mikono miwili.
NYONGEZA: Sina chuki binafsi na Naseeb ila naona kipaji chake hajakitumia kikamilifu. Hana washauri wazuri. Washauri wenyewe nao sasa hivi wako busy wanagombania umaarufu huo huo.
Mboma unaforce ,show nyingi means mtonyo eboooh.Show 90 kwa mwaka ni dhahiri halipwi vizuri bali anadunduliza.
Diamond dola 100000 per performance... Twende kazi eboooh.Burna boy Dola 50000 per perfomance....Nimeanza na huyo embu nambie Diamond anacost sh ngapi?
Unamainisha nini kuwa pamba huwa hazimpendezi bashite!!!!!??? Are u serious????? Mbona huwa zinamu shape vzr sana. Au una wivu was kike? Au unatumika na mabeberu? Kati ya Halima mdee na Bashite Nani atatokelezea akivaa skin jeans!!!!!??? 🐯Hata Makonda Mkolomije akipiga pamba hazimpendezi kawaida sana cha muhimu account iwe imenona na pupuchi unazila unavyotaka.
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]Unamainisha nini kuwa pamba huwa hazimpendezi bashite!!!!!??? Are u serious????? Mbona huwa zinamu shape vzr sana. Au una wivu was kike? Au unatumika na mabeberu? Kati ya Halima mdee na Bashite Nani atatokelezea akivaa skin jeans!!!!!??? [emoji197]