Unaweza kuwa na hela ukawa mshamba vilevile.
The problem, kwa kuangalia maelezo yako inaonekana hata tafsiri ya ushamba huijui!
Kwa mfano, eti kila wakati anatoa nyimbo za mapenzi! Khaa! Ina maana hujui kwamba mapenzi ni one of music themes/genres na kila msanii ana theme anayoifurahia zaidi? Sasa suala la ushamba hapo linaingiaje?! Hata mfano wako kwamba dance yake ni ile ile!! Hapo napo ushamba unaingiaje?! Si bora ungesema anakosa ubunifu!
Hata ukija kwenye pullover!! Ulishawahi kujiuliza alivaa kwenye mazingira yapi hasa kwa kuzingatia what you saw was just an Instagram photo! Kuna siku kuna watu walikuwa wanatoa povu kuona Instagram video wakati jamaa anavuta sigara na cigar bila kufahamu picha kama zile wakati mwingine kama sio wote zinakuwa kwa ajili ya matangazo! "Mtu anashangaa kumuona Mondi anavuta cigar wakati mezani anaona kuna chupa ya Belaire!! Au unaweza kushangaa kumuona Diamond amevaa pullover wakati ameenda mtaani?! Au zinakusumbua swagger za kwenye stage ambazo dadazetu wanafikia kwenda hata na chupi tupu!!
Sorry kiongozi, we unaonesha wazi kwamba sio mtu wa burudani na ndo maana hata issues zinazoendana na burudani huzijui!
Huko Unyamwezini kwenyewe wala usidhani kila dressing code ya wasanii ni ili ku-adapt hali ya hewa ya huko! Mfano mzuri, angalia videos za Rap, Hipo hop and R&b za back in 1990's!
Ukiangalia hizo videos, nyingi utakuta watu wamepiga boots kubwa kweli kweli na majaketi heavy!! Ilikuwa ni rahisi sana kwetu ku-conclude kwamba walikuwa wanafanya hivyo kwa ajili ya baridi! But the question is: mbona siku hizi hatuwaoni wakiwa kwenye mabuti na majaketi mazito?! Ni kwamba cku hizi hakuna baridi au wasanii wa siku hizi hawasikii baridi! Au hiyo hiyo baridi ilikuwa inapenya kwa akina Vinny, Trech, Heavy D, Ice Cube, Wutang, Brand Nubian and the like peke yao wakati mademu kwenye same videos wapo na vichupi! Hiyo baridi ilikuwa inawa-attack wao peke yao lakini ilikuwa inawaogopa akina Michael Jackson?!
Ukitafakari ndipo utajua kwamba haya mambo have nothing to do with adapting mazingira but it's all about swagger!!