Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo Mond amelala lupango?Waziri wa Habari, Harrison Mwakyembe amesema Msanii Diamond na Nandy, walikamatwa na polisi jana kwa kusambaza picha zilizokosa maadili mtandaoni
# MwananchiUpdates
Waziri wa Habari, Harrison Mwakyembe amesema Msanii Diamond na Nandy, walikamatwa na polisi jana kwa kusambaza picha zilizokosa maadili mtandaoni
# MwananchiUpdates
Mtasoma Namba safari hiiutaamua wewe kutoka au kutokutoka kama ushaona wanakutoa na ushajua basi unatakiwa kukataa kutolewa na uendelee kujadili ripoti
Asante sana kwa mchango wakoUwe unaangalia Kwanza ' threads ' kabla ya kukurupuka Kuanzisha yako. Tayari kuna ' Uzi ' wenye ujumbe huu wako umeshaanzishwa kama dakika 45 na Wenzako waliokuwahi kuipata taarifa. Hata hivyo nikupongeze tu kwakuwa mfuatiliaji mzuri wa Bunge kupitia TBC1.
WazugajiHivi Hii wizara hawana kazi
TCRA nadhani wanadili Na mrushaji/ msambazajiHivi bilinass na hamisa wao hawana kosa???
Zile video etiPicha gani?
Hiki ndicho kinachotucost sana sisi watumiaji wa mitandao, bado tunaendelea kudhani kwasababu hatuna kariba ya kujisomea e.g. sheria ya makosa ya mitandao inavyoelekeza.TCRA nadhani wanadili Na mrushaji/ msambazaji
kwani alieelezea hili tamko anatoka wizara ya afya, elimu au? mwakyembe ni nani? kama wizara inataka kuingiliwa na madudu akae kimya sio? shame on uNi ujinga sana kujadili chupi ya nandy maana sioni la maana hapa.
Kwahyo mobeto na billnas hawana makosaKwa mujibu wake Waziri Mwakyembe sasa hivi akijibu swali la Nyongeza la Mbunge Mlingwa huko Bungeni Dodoma.
Kwa kauli yake mwenyewe Waziri husika Dr. Mwakyembe amesikika akisema kwamba tokea jana Msanii Diamond pamoja na mwenzeke Nandy wamekamatwa na kwenda Polisi kwa Mahojiano zaidi kutokana na Video zao ambazo hazina ' maudhui ' ya Kimaadili kwa Watanzania.
Kazi ipo mwaka huu hakyanani.
Nawasilisha.