mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Labda kosa ni kuvaa kufuli oversize.Huu ujinga sasa, Nandy anakamatwa alafu Bill Nas anaachwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kosa ni kuvaa kufuli oversize.Huu ujinga sasa, Nandy anakamatwa alafu Bill Nas anaachwa?
hamisa inaonyesha dhahiri alikua hatakiHivi bilinass na hamisa wao hawana kosa???
anahisi ni mkubwa wa nchi..kisa tu ndo mwanamziki tajiri ...yn jamaa nilikua nampenda...bora tu niwe team kibaSio siri diamond inabidi apewe funzo kwa kula hata miez mitatu jela mana jamaa amejipa nafasi ya kufanya ujinga wowote hapa nchini afu kwenye interview anajiita kioo cha jamii.
kazi ipo kweli"" sio mchezo""Kwa mujibu wake Waziri Mwakyembe sasa hivi akijibu swali la Nyongeza la Mbunge Mlingwa huko Bungeni Dodoma.
Kwa kauli yake mwenyewe Waziri husika Dr. Mwakyembe amesikika akisema kwamba tokea jana Msanii Diamond pamoja na mwenzeke Nandy wamekamatwa na kwenda Polisi kwa Mahojiano zaidi kutokana na Video zao ambazo hazina ' maudhui ' ya Kimaadili kwa Watanzania.
Kazi ipo mwaka huu hakyanani.
Nawasilisha.
waweza kuta anammega ..."" hii dunia haijawahi kuacha vituko mkuu""Naungana na serikali wadakwe tu ule uchafu kabisa isitoshe diamond kioo cha jamii na ana familia kutwa analandana na mama yake kila kona hamuogopi mama yake yale matukio ukiacha watoto alaonao? staha kidogo iwepo hasa mama yake anaisha nae kama msela wake kosa
fact mkuu huwezi kulandana mama yako unamheshimu halafu kila siku upo na wanawake tu labda kama yule mama yake ni wa bandia ila kwa kimaadili mond anachofanya ni ujinga kama ni pesa karuhusu zimvue utu wakewaweza kuta anammega ..."" hii dunia haijawahi kuacha vituko mkuu""
Hapo sasa maana Billnas si ndiyo alikuwa anapiga gitaa kwenye tigo ya NandyHuu ujinga sasa, Nandy anakamatwa alafu Bill Nas anaachwa?
Hana cha Pesa wala nini ni ushamba na uswahili ..ndio maana lile choko lina jeuri..sasa serikali inabid ionyeshe mkono wake..ai kuendekeza sifa..huyo dogo ananiona mjanja sababu ya makonda..ss makonda ndio anamtuma au...aache ungese pesa zina.mwsho ...pesa inamtia jeuri
you wish ..Jinga sana haka kajamaa kameshajiona labda ni maarufu sana kanafanya kila ya ujinga na kiburi...bora wakashughulikie...
Ndiyo maana akaitwa mswahili. [emoji23]fact mkuu huwezi kulandana mama yako unamheshimu halafu kila siku upo na wanawake tu labda kama yule mama yake ni wa bandia ila kwa kimaadili mond anachofanya ni ujinga kama ni pesa karuhusu zimvue utu wake