Diamond Platnumz, Hamisa Mobetto na Nandy wahojiwa na Polisi kwa kusambaza video za faragha, wapewa dhamana...

Waziri wa Habari, Harrison Mwakyembe amesema Msanii Diamond na Nandy, walikamatwa na polisi jana kwa kusambaza picha zilizokosa maadili mtandaoni
# MwananchiUpdates

Uwe unaangalia Kwanza ' threads ' kabla ya kukurupuka Kuanzisha yako. Tayari kuna ' Uzi ' wenye ujumbe huu wako umeshaanzishwa kama dakika 45 na Wenzako waliokuwahi kuipata taarifa. Hata hivyo nikupongeze tu kwakuwa mfuatiliaji mzuri wa Bunge kupitia TBC1.
 
Wanajua walfanyalo watz tuwen macho katka kpind hiki hv unadhan kat ya young D bongo Banat mbaya na Nandy kichupi madole nan katenda kosa
 
Hugo gudayamondi waguweke ndani tu mana gushaanza kutuona sisi kama misukule wake.
 
Asante sana kwa mchango wako
 
Sio siri diamond inabidi apewe funzo kwa kula hata miez mitatu jela mana jamaa amejipa nafasi ya kufanya ujinga wowote hapa nchini afu kwenye interview anajiita kioo cha jamii.
 
Kwahyo mobeto na billnas hawana makosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…