Diamond Platnumz hamishia shughuli zako Marekani kwa muda

N msanii yupi marekani ameweza kuwa mkubwa Kwa kuimba live band
 
Kuna kipindi nilikua na produce music,,kuna mzungu akatupeleka zanzibar kuna studio moja konyo ya wazungu tukafanye mixing ya nyimbo fulani...,kuna dada mzungu alipenda sana touches zangu akaomba tufanye ngoma but tuanze ku compose chorus, hiyo chorus hakuimba alinipa tu music notes akasema chorus hiyo Mr ...haha niliona chenga chenga
 
Ila Bdozen🤣🤣🤣🤣 huo mfano katupiga hadi basi.
 
Kuna shida mbili kubwa: kwanza lyrics. Nyimbo zake hazina sophistication, yaani zimejaa maneno ya uswahilini ambayo hayana maana sana wala hayafikirishi. Pili, utamaduni na lugha ya Marekani hawezi kuvimudu kwa muda mfupi. Yaani akiwa Marekani anakuwa 'removed' from the culture, haelewi jinsi wamarekani wanavyofikiria.
 
Music hauna lugha, imba vizuri beat imesimama kuna flow nzurii dunia nzima itaimba.. Nigeria wanaimba kwa lugha zao na tupo we are creating our words kuenda na beat so long as nyimbo ikiwa nzurii. Dunia itaimbaa..
 
unawajua bts, luis fonsi wa despacito, bad bunny, hawa huwa wanaeleweka?
mbona show zao zina jaza marekani? Wanatengeneza pesa nyingi sana
 
Hii Ni kweli.. lakini najiuliza mchekeshaji Trevor sijui kama nimepatia jina) wa south Africa amewezaje kufanya kipindi Cha the daily show..huko marekani
 
Hii Ni kweli.. lakini najiuliza mchekeshaji Trevor sijui kama nimepatia jina) wa south Africa amewezaje kufanya kipindi Cha the daily show..huko marekani
Trevor ni mtu mwingine naona alizaliwa na kipaji, pia anafanya research zake before mgeni kuja. Sad hayupo tena kwenye daily show.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…