Diamond Platnumz hamishia shughuli zako Marekani kwa muda

Forest Hill, ulimalizia hiyo chorus? Watu wanajifungia ghetto na kucheza na Fl Studio then wanatoa mziki, producers wakiamua kusoma mziki kwa uhakika inawezekana production yetu kukua.
 
Wewe ni Mchawi?
 
Ni Kwasababu kafanya ngoma na Serena, ukijumlisha na nguvu ya wapopo ilivyo. Hakuna kitu Cha bahati mbaya.
Exactly, hawa wenzetu wanajiongeza, wiz, burna na Rema kila mmoja ana style yake uimbaj inayowatofautisha na the rest…
Sasa inapokuja kwetu bado tumeganda na amapiano kila ngoja lazima iwe na vionjo hivyo.. ubunifu 0
 
Forest Hill, ulimalizia hiyo chorus? Watu wanajifungia ghetto na kucheza na Fl Studio then wanatoa mziki, producers wakiamua kusoma mziki kwa uhakika inawezekana production yetu kukua.
Kuna MTU alinitafsiria,Tanzania bado music kipaji sio professional kama wenzetu,production IPO chini sana,kuanzia tools, ubunifu,sound, mixing..
 
Umewaza/kuandika bila kuushirikisha ubongo? Meaning less
 
Kuna MTU alinitafsiria,Tanzania bado music kipaji sio professional kama wenzetu,production IPO chini sana,kuanzia tools, ubunifu,sound, mixing..
Alan walker anatumia FL Studio kutengeneza mziki wake na ametoboa sana ngoma kama faded, unity, lily, lonely yule tompoe wa love nwatiti na soweto naye anatumia FL studio na anakili amejaribu nyingine zimemshinda kabisa kuzitumia akarudi kwa FL.
Wote hao wawili hakuna hata aliyeenda shule kusoma mziki ni experience na kuplay around with softwares and different tools.tompoe kajifunzia kanisani alan walker yeye mwenyewe tu
 
Kwanza Kama raisi, Tiwa wa naija, alifanya kazi na Mary j bridge wale watu wa back stage, mbona haamishi majeshi us, na kasoma ulaya Yule, A.y yupo kule mbona kabuma kule,
mziki wake anategemea huku, labda tumpe muda Roma kwakuwa ndo kafika kule anaweza akakutana na Snoop wakafanya Jambo.
 
Acha bangi basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…