McCollum
JF-Expert Member
- Jan 10, 2023
- 384
- 684
Forest Hill, ulimalizia hiyo chorus? Watu wanajifungia ghetto na kucheza na Fl Studio then wanatoa mziki, producers wakiamua kusoma mziki kwa uhakika inawezekana production yetu kukua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Kwasababu kafanya ngoma na Serena, ukijumlisha na nguvu ya wapopo ilivyo. Hakuna kitu Cha bahati mbaya.Kaweka record ya kuwa msanii wa kwanza Africa kuwa namba moja kwenye charts za Billbord Global. Na hana miaka zaidi ya mitano kwenye game
Wewe ni Mchawi?Kwanza diamond mwenyewe anaimba nini?
Hebu mchukue muweke aimbe live band uone kitachotokea.
Tanzania amekua rahisi kutoka kimuziki sababu tumezoea makelele hatujui maana ya mziki.akineda huko marwkani ndo atachemka kabisa..labda watz wanaoishi huko ndo wassupport anachoimba..but black americans?
[emoji2]Shule ulienda kupanga matofali
[emoji1732][emoji16]
Exactly, hawa wenzetu wanajiongeza, wiz, burna na Rema kila mmoja ana style yake uimbaj inayowatofautisha na the rest…Ni Kwasababu kafanya ngoma na Serena, ukijumlisha na nguvu ya wapopo ilivyo. Hakuna kitu Cha bahati mbaya.
Kuna MTU alinitafsiria,Tanzania bado music kipaji sio professional kama wenzetu,production IPO chini sana,kuanzia tools, ubunifu,sound, mixing..Forest Hill, ulimalizia hiyo chorus? Watu wanajifungia ghetto na kucheza na Fl Studio then wanatoa mziki, producers wakiamua kusoma mziki kwa uhakika inawezekana production yetu kukua.
Ni Kwasababu kafanya ngoma na Serena, ukijumlisha na nguvu ya wapopo ilivyo. Hakuna kitu Cha bahati mbaya.
Umewaza/kuandika bila kuushirikisha ubongo? Meaning lessChukua hata uraia wa Marekani kwa muda ukane huu wa bongo.
ukifika kule anzia chini kabisa, jishushe fanya remix ya nyimbo zako hasa zile za zamani ukiimba kiingereza kwa wingi kiswahili kidogo.
imba hata barabarani na na kwenye mikusanyiko ya watu wengi fanya show za bure,fanya interview kwenye radio na tv stations za huko hata kwa kulipia Hapa utapata mafans wa kustream kazi zako kwenye platform zinazolipa kama i tunes, n.k
Jifunze namna wenzetu wanavyo sambaza kazi zao,wanavyotengeza pesa nyingi uje ulete mbinu bongo.
Miaka michache ijayo utakuwa msanii bilionea in dollar kama akina drake na justin beiber na dunia nzima itawajua akina mama dangote na uncle shamte na utauza reality show kama wanavyofanya kina kim kadashian.
Utapiga show kwenye kumbi kubwa zaidi duniani huko paris, london kwa sold out na utakuza uchumi wa tanzania na sanaa yake kwa ujumla.
Hata akina Wizkid watakuja kuomba collabo na utakuwa na kiburi mbele ya ccm.
Au mnasemaje madau??
Alan walker anatumia FL Studio kutengeneza mziki wake na ametoboa sana ngoma kama faded, unity, lily, lonely yule tompoe wa love nwatiti na soweto naye anatumia FL studio na anakili amejaribu nyingine zimemshinda kabisa kuzitumia akarudi kwa FL.Kuna MTU alinitafsiria,Tanzania bado music kipaji sio professional kama wenzetu,production IPO chini sana,kuanzia tools, ubunifu,sound, mixing..
Kwanza Kama raisi, Tiwa wa naija, alifanya kazi na Mary j bridge wale watu wa back stage, mbona haamishi majeshi us, na kasoma ulaya Yule, A.y yupo kule mbona kabuma kule,Marekani Hakuna fursa kwa mtu mweusi kihivyo. Mifumo ya kimarekani haikujengwa kwa mtu mweusi.
Kwanza akienda US hakuna anayemjua ataishi Kama chokoraa mweusi mwingine.
Tuna wasanii wetu hapa kama Ray C, Mavoko, Hussen Machozi waliwahi kuhamishia shughuli zao za Muziki hapo Nairobi tu, walibuma kinoma.
Ubaguzi Kama kawaida, atakuwa anapambana na Vita ya ubaguzi kuanzia asubuhi mpaka jioni.
Huo mziki unaomdanganya atafanya ni uongo. Kwanza akienda huko atakuwa underground tu tena choko mhamiaji, hatakuwa na heshima anayopata huku.
Labda afanye Clown, kujipata midude na kwenda kutisha watu kwenye birthday zao. Huku akitafunwa na upweke.
Utamu wa Ulaya na US ni fursa za kazi ( I mean kazi zinazodhaurika lakini Zina pesa kibongo bongo) na ukishachuma unakuja Africa kuishi Kama Mfalme.
Usidanganyike na maisha ya US na Ulaya unayoyaona kwenye TV.
Acha bangi basiKwanza Kama raisi, Tiwa wa naija, alifanya kazi na Mary j bridge wale watu wa back stage, mbona haamishi majeshi us, na kasoma ulaya Yule, A.y yupo kule mbona kabuma kule,
mziki wake anategemea huku, labda tumpe muda Roma kwakuwa ndo kafika kule anaweza akakutana na Snoop wakafanya Jambo.
una maanisha Nini? Sema nikuelewe.Acha bangi basi
We sema hata ukinitusi siwezi kukujibu vibaya mkubwa wangu, japo umeanza zarau umeniambia acha bangi wakati sipo huko.una maanisha Nini? Sema nikuelewe.
Yaani Roma muimba ngonjera aimbe na snop doggyuna maanisha Nini? Sema nikuelewe.
Marekani ndo wanataka watu wanaoimba na CD?hakika kwa kiasi chake, atakuja kuinua vijana wenzake kama anavyofanya pale wcb ila hii itakuwa in international level.