Diamond Platnumz hamishia shughuli zako Marekani kwa muda

Diamond Platnumz hamishia shughuli zako Marekani kwa muda

crankshaft

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,427
Reaction score
3,438
Chukua hata uraia wa Marekani kwa muda ukane huu wa bongo.

Ukifika kule anzia chini kabisa, jishushe fanya remix ya nyimbo zako hasa zile za zamani ukiimba kiingereza kwa wingi kiswahili kidogo.

Imba hata barabarani na na kwenye mikusanyiko ya watu wengi fanya show za bure,fanya interview kwenye radio na tv stations za huko hata kwa kulipia Hapa utapata mafans wa kustream kazi zako kwenye platform zinazolipa kama i tunes, n.k

Jifunze namna wenzetu wanavyosambaza kazi zao,wanavyotengeza pesa nyingi uje ulete mbinu bongo.

Miaka michache ijayo utakuwa msanii bilionea in dollar kama akina drake na justin beiber na dunia nzima itawajua akina mama dangote na uncle shamte na utauza reality show kama wanavyofanya kina kim kadashian.

Utapiga show kwenye kumbi kubwa zaidi duniani huko paris, london kwa sold out na utakuza uchumi wa tanzania na sanaa yake kwa ujumla.

Hata akina Wizkid watakuja kuomba collabo na utakuwa na kiburi mbele ya ccm.

Au mnasemaje wadau??
 
Kwanza diamond mwenyewe anaimba nini?

Hebu mchukue muweke aimbe live band uone kitachotokea.

Tanzania amekua rahisi kutoka kimuziki sababu tumezoea makelele hatujui maana ya mziki.akineda huko marwkani ndo atachemka kabisa..labda watz wanaoishi huko ndo wassupport anachoimba..but black americans?
 
Kwanza diamond mwenyewe anaimba nini?
Hebu mchukue muweke aimbe live band uone kitachotokea.
Tz amekua rahisi kutoka kimuziki sababu tumezoea makelele hatujui maana ya mziki.akineda huko marwkani ndo atachemka kabisa..labda watz wanaoishi huko ndo wassupport anachoimba..but black americans???
jifunze kuandika vizuri kwanza
 
Acha tu Diamond tu,Manji alihama na biashara zake Maisha yakaendelea hakuna mtikisiko kidogo uliotokea hata kidogo.
 
Hapo ndo akili zako zinapoishia..kuchapia ndo kutojua kuandika?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Mawazo yako uloandika pale juu ni ya kidwanzi..hata mondi mwenydwe akisoma anaishia kucheka

labda ni kweli lakini nadhani nachotaka kusema ni kwamba marekani kuna fursa kwa wasanii may be you may suggest how our artists may exploit that opportunity.
 
Back
Top Bottom