IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,023
Habari wadau,baada ya kuswali swala ya IDD leo nimiengia IG nikakutana na mbwembwe za bwana nasibu.
Ametumia helicopter kuingia uwanjani.
Ni wazo zuri ila tahadhari ichukuliwe ile sio gari ya matairi4.
Chopa nyingi ni za mtumba service hazina uhakika sasa .......sherehe itakuwa huzuni
Ametumia helicopter kuingia uwanjani.
Ni wazo zuri ila tahadhari ichukuliwe ile sio gari ya matairi4.
Chopa nyingi ni za mtumba service hazina uhakika sasa .......sherehe itakuwa huzuni