Bwana mdogo Yesu sio Issa..wanakudanganyeniKatika Uislam kuna nguzo za Imani ni sita ikiwemo kuamini Vitab na MItume yke......ambavo vitabu vya Mungu ikiwemo Injil na ktk mitume akiwemo Yesu (kwa kiarab ISSA) ukileta mambo ya dini kwenye suala la mziki itabidi lijibiwe kidini. Kwa muktadha huo hata yeye Diamond anamuhusu huyo Yesu otherwise iwe kuna jengine lipo kwa mleta mada.
Kwanini unawakufurisha Waislam wanaoimba muziki?swadakta ...
hio ni sawa na muislam asiyeswali ni sawa kafir kasoro majina tu
Ukristo umeletwa na wakoloni na mababu zetu wamekula viboko kwa kupokea ukristu. Ulitulegeza tutawalike
Ogopa kitu kinaitwa ukristo mkuu. Wazungu wengi wanakuja africa kama mapadre wanaingia huko vijijini wanajenga makanisa kumbe ni ma CIA na wengine wanatafuta mali kama dhahabu na vinginevyo. Ukiona hawa watu wanajenga makanisa na kufanya shughuli za mission..jaribu kuchunguza. Lazima utakuta kuna vitu hatari vinaendelea within.Uko sahihi. Kitabu kiitwacho The Africans — A Triple Heritage kinasema hivi: “Islam spread north of the Sahara through invasion,. . . and Christianity spread south of the Sahara in the same way. Islam spread by the sword in the north of the Sahara, and Christianity spread by the gun in the south of the Sahara. ”
TATIZO SIO UKRISTO, ni wale waliojipa hatimiliki ya kuueneza. Yesu hakuwaagiza waeneze ukristo kwa mtutu wa bunduki,kisiasa au kibiashara. Yesu alishutumu siasa, Yesu alishutumu kutumia upanga, Yesu alikuwa 'neutral'.Ogopa kitu kinaitwa ukristo mkuu. Wazungu wengi wanakuja africa kama mapadre wanaingia huko vijijini wanajenga makanisa kumbe ni ma CIA na wengine wanatafuta mali kama dhahabu na vinginevyo. Ukiona hawa watu wanajenga makanisa na kufanya shughuli za mission..jaribu kuchunguza. Lazima utakuta kuna vitu hatari vinaendelea within.
Hiyo inaitwa situational awareness. Si lazima watu wakubaliane na mm. Ni opinion tu.
Na yesu alikua mtu mweusi picha yake ikabadilishwa ikawa ya mtu mweupe. Mara ghafla na malaika wakawa weupe. Mara ghafla kuna kitabu nilikutana nacho encyclopidia nikakuta wamemchora mungu katika sura ya mzungu na ndevu zimefunika mdomo wote akiwa na strong figure.TATIZO SIO UKRISTO, ni wale waliojipa hatimiliki ya kuueneza. Yesu hakuwaagiza waeneze ukristo kwa mtutu wa bunduki,kisiasa au kibiashara. Yesu alishutumu siasa, Yesu alishutumu kutumia upanga, Yesu alikuwa 'neutral'.
🤣🤣🤣🤣🤣Je wale Dada zetu wa moshi wanapopigwa bakora husema Yesu na Maria unaniua
Hi ikoje?????
Yohana 4:24 Mungu ni Roho, sasa utamchoraje Mungu ambaye hajawahi kuonekana? Si ndiyo makufuru hayo. Yesu alikuwa myahudi so alikuwa mweupe.Na yesu alikua mtu mweusi picha yake ikabadilishwa ikawa ya mtu mweupe. Mara ghafla na malaika wakawa weupe. Mara ghafla kuna kitabu nilikutana nacho encyclopidia nikakuta wamemchora mungu katika sura ya mzungu na ndevu zimefunika mdomo wote akiwa na strong figure.
Hii ilikua kampeni wakuu kutushinda kisaikolojia. Kwamaana ya kwamba kama mungu ana sura ya mzungu. Basi wewe uta halalisha kuchapwa viboko kwa sababu anaekuchapa anafanana na mungu
Kwanini unawakufurisha Waislam wanaoimba muziki?
Mnajifariji na dini yenu ya watu mbumbumbu hivi kuna muislamu kafanya ugunduzi wa kitu chochote dunuani?
We Dini unaijulia wapi...unachokitafuta Ni high TU.Tumpende tu kwani wangekuwa wenzetu wangemkata kichwa.
Tujitofautishe na hao wanyama
Huwezi kujadili kwa sababu huna cha kujibu.Sijadili hoja dhaifu. Nishavuka hizo level za toddlers
Huwezi kujadili kwa sababu huna cha kujibu.Nimelaumu KUTAJA? Acha kufanya spinning. Soma tena mada kuu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] pole sana mkuu. Aliowaambia hayo wanajua maana.Huwezi kujadili kwa sababu huna cha kujibu.
Yesu si tapeli kwa kuwaambia watu atarudi duniani kabla hawajafa, miaka 2000 iliyopita, na mpaka leo hajarudi?
Afu wapi alipotapeli kwamba atarudi kabla hawajafa? Onyesha kwamba hajarudi bado, nami nitakuonyesha kwamba alirudi mapema tu na waliomsubiri kwa saburi walimwona live kabla hawajafa. Let's goHuwezi kujadili kwa sababu huna cha kujibu.
Yesu si tapeli kwa kuwaambia watu atarudi duniani kabla hawajafa, miaka 2000 iliyopita, na mpaka leo hajarudi?
Hadith hiyo sio dalili ya kumkufurisha Muislam anayeimba muziki. Kuimba muziki ni haraam lakini hakumtoi Muislam katika Uislam akawa kafir. Muislam anayeimba muziki anafanya dhambi lakini sio kafir.kwa sababu wanakufuru amri za Allah ma Mtume wake
عَنْ أَبِي مَالِكٍ الأَشْعَرِيِّ، قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ ـ صلى الله عليه وسلم ـ ((لَيَشْرَبَنَّ نَاسٌ مِنْ أُمَّتِي الْخَمْرَ يُسَمُّونَهَا بِغَيْرِ اسْمِهَا يُعْزَفُ عَلَى رُءُوسِهِمْ بِالْمَعَازِفِ وَالْمُغَنِّيَاتِ يَخْسِفُ اللَّهُ بِهِمُ الأَرْضَ وَيَجْعَلُ مِنْهُمُ الْقِرَدَةَ وَالْخَنَازِيرَ)) سنن إبن ماجه
Kwanza kabisa, alirudi mwaka gani?Afu wapi alipotapeli kwamba atarudi kabla hawajafa? Onyesha kwamba hajarudi bado, nami nitakuonyesha kwamba alirudi mapema tu na waliomsubiri kwa saburi walimwona live kabla hawajafa. Let's go
Yesu alirudi mwaka gani?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] pole sana mkuu. Aliowaambia hayo wanajua maana.
Zaburi 90 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁴ Maana miaka elfu machoni pako Ni kama siku ya jana ikiisha kupita, Na kama kesha la usiku.
Kionjo kidogo tu kwako:
2 Petro 3 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁸ Lakini, wapenzi, msilisahau neno hili, kwamba kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja.
⁹ Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake, kama wengine wanavyokudhani kukawia, bali huvumilia kwenu, maana hapendi mtu ye yote apotee, bali wote wafikilie toba.