[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] pole sana mkuu. Aliowaambia hayo wanajua maana.
Zaburi 90 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁴ Maana miaka elfu machoni pako Ni kama siku ya jana ikiisha kupita, Na kama kesha la usiku.
Kionjo kidogo tu kwako:
2 Petro 3 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁸ Lakini, wapenzi, msilisahau neno hili, kwamba kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja.
⁹ Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake, kama wengine wanavyokudhani kukawia, bali huvumilia kwenu, maana hapendi mtu ye yote apotee, bali wote wafikilie toba.