Sasa hapo watu waliotoka katika tamaduni za ujinga wanaweza kumuua.Hapa nilipo namsikiliza Ariana Grande anaimba God is a woman. Kawimbo katamu sana.
Mimi kama imani yangu ni kukashifu uislam,na wewe imani yako ni uislam!Ukiniambia niache kukashifu uislam,huoni kuwa umeingilia imani yangu?Kukashifu ni nini?
Na kama mimi imani yangu ni kukashifu ujinga, na imani yako ni ujinga, ukiniambia mimi niache kukashifu imani za watu wengine, wakati mimi imani yangu ni kukashifu imani za kijinga, hapo na wewe hujaikashifu imani yangu?
Unaelewa mpaka hapa ushaukashifu Uislamu?Mimi kama imani yangu ni kukashifu uislam,na wewe imani yako ni uislam!Ukiniambia niache kukashifu uislam,huoni kuwa umeingilia imani yangu?
Unataka tufike huko??
Wakristo wenyewe wameshajidharau na kumfanya Yesu wao adharaulike. Ndio maana Diamond anaweza kutunga mashairi ya kumkejeli Yesu. Tena Diamond ameiga tu, aliyeanza kutoa hizo dharau ni Kangi Lugola alipomfananisha Magufuli na Yesu, na viongozi wakubwa wa dini ya kikristo wakakaa kimya huku wakimshangilia Magufuli na kumsifia ovyo ovyo. Sasa tuwaache wakristo wavune walichopanda. Yote haya ni mafanikio ya uongozi wa awamu ya tano!
Heshima ya Yesu italetwa na wale wanaomwamini, na itapotezwa na hao hao wanaomwamini.
CCM oyeee!
Magufuli oyeee!
Diamond oyeee!
Mbona unarukaruka?Jikite kwenye hoja!Maana wewe umesema ni sawa kukashifu imani za watu wengine!Unaelewa mpaka hapa ushaukashifu Uislamu?
Kwa nini imani iwe muhimu kuliko ukweli?Mimi kama imani yangu ni kukashifu uislam,na wewe imani yako ni uislam!Ukiniambia niache kukashifu uislam,huoni kuwa umeingilia imani yangu?
Unataka tufike huko??
Kwa nini imani iwe muhimu kuliko ukweli?Mbona unarukaruka?Jikite kwenye hoja!Maana wewe umesema ni sawa kukashifu imani za watu wengine!
Naona unarukaruka tu!Na mifano yako sio hai kabisa!Tanzania kuna imani kubwa mbili kutokana na idadi ya wafuasi wa imani hizi!Kuna wakristo na waislamu!Imani hizi kila moja wanaamini katika wanayoamini!Wakristo wanaamini katika kristo yaani Yesu kristo!Waislam wanamuamini Allah na mtume wao Mohamad SAW!Kwa nini imani iwe muhimu kuliko ukweli?
Kama wewe imani yako ni kula mavi, nikakwambia ukweli kwamba wewe ni mchafu unakula mavi, utapata maradhi. Utatuambukiza kipindupindu.
Hapo utasema nimeikashifu imani yako au nimesema ukweli tu?
Yesu ni Mungu katika mwili wa kibinadamu,period.Ni makufuru kumlinganisha Yesu na girl friend wake, lakini pia ni makufuru kumwita Yesu Mungu Muumba wa mbingu na dunia.
Soma Mathayo 16:16,17 Simoni Petro akajibu: “Wewe ndiye Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.”17 Yesu akamwambia: “Mwenye furaha ni wewe, Simoni mwana wa Yona, kwa sababu mwili na damu havikukufunulia hilo, bali Baba yangu aliye mbinguni ndiye aliyekufunulia.
Yohana 14; 28 Mlisikia nikiwaambia, ‘Ninaenda, nami nitakuja tena kwenu.’ Kama mngenipenda, mngeshangilia kwamba ninaenda kwa Baba, kwa maana Baba ni mkuu kuliko mimi.
Inahitaji akili kubwa kuelewa Yesu ni Mungu,Ni makufuru kumlinganisha Yesu na girl friend wake, lakini pia ni makufuru kumwita Yesu Mungu Muumba wa mbingu na dunia.
Soma Mathayo 16:16,17 Simoni Petro akajibu: “Wewe ndiye Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.”17 Yesu akamwambia: “Mwenye furaha ni wewe, Simoni mwana wa Yona, kwa sababu mwili na damu havikukufunulia hilo, bali Baba yangu aliye mbinguni ndiye aliyekufunulia.
Yohana 14; 28 Mlisikia nikiwaambia, ‘Ninaenda, nami nitakuja tena kwenu.’ Kama mngenipenda, mngeshangilia kwamba ninaenda kwa Baba, kwa maana Baba ni mkuu kuliko mimi.
Imani ni nini?Naona unarukaruka tu!Na mifano yako sio hai kabisa!Tanzania kuna imani kubwa mbili kutokana na idadi ya wafuasi wa imani hizi!Kuna wakristo na waislamu!Imani hizi kila moja wanaamini katika wanayoamini!Wakristo wanaamini katika kristo yaani Yesu kristo!Waislam wanamuamini Allah na mtume wao Mohamad SAW!
Tumeishi pamoja kwa amani kwasababu ya kuheshimiani,kila mmoja akiheshimu imani ya mwingine!
Kumfananisha Mungu wa imani mojawapo na kitu chochote ni kuikashifu dini hiyo!Unamfananishaje Mungu anayeaminiwa na wakristo na demu wako ambaye unamuingilia kimwili?Hiyo ni kashfa na dharau kwa imani isiyo yako!
Diamond anajua fika wakristo sio wagomvi,angemfananisha Mwanamke wake na mtume Mohamad SAW angekiona cha moto!
Hoja hapa ni kumfananisha Yesu na GF wako,hayo mengine kuna nyuzi zipo kuhusu Yesu ni Mungu au vipi!Ni makufuru kumlinganisha Yesu na girl friend wake, lakini pia ni makufuru kumwita Yesu Mungu Muumba wa mbingu na dunia.
Soma Mathayo 16:16,17 Simoni Petro akajibu: “Wewe ndiye Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.”17 Yesu akamwambia: “Mwenye furaha ni wewe, Simoni mwana wa Yona, kwa sababu mwili na damu havikukufunulia hilo, bali Baba yangu aliye mbinguni ndiye aliyekufunulia.
Yohana 14; 28 Mlisikia nikiwaambia, ‘Ninaenda, nami nitakuja tena kwenu.’ Kama mngenipenda, mngeshangilia kwamba ninaenda kwa Baba, kwa maana Baba ni mkuu kuliko mimi.
Naona uko hapa kubishana tu ilimradi na sio kujadili hoja!Naomba nikuache ulivyo,maana tuko kwenye hoja unaniletea habari za kula mavi!Imani ni nini?
Usikariri.
Sasa wewe ambaye hutaki au huwezi hata ku define imani ni nini ndiye unayejadili hoja?Naona uko hapa kubishana tu ilimradi na sio kujadili hoja!Naomba nikuache ulivyo,maana tuko kwenye hoja unaniletea habari za kula mavi!
Nakufafanulia msingi wa hoja unakuja kiwepesi namna hii!Hapana,naomba niishie hapa!
Endelea kujadiliana na wengine kuhusu kula mavi,mimi nimeshindwa aisee!Sasa wewe ambaye hutaki au huwezi hata ku define imani ni nini ndiye unayejadili hoja?
Umeshindwa wakati bado unanijibu?Endelea kujadiliana na wengine kuhusu kula mavi,mimi nimeshindwa aisee!
AlaaniweHoja hapa ni kumfananisha Yesu na GF wako,hayo mengine kuna nyuzi zipo kuhusu Yesu ni Mungu au vipi!
Tusipoteze focus ya uzi,Diamond aombe radhi na aufute wimbo huo!
Po eewswwwswwwwswsesswswwwwsswswswwwswwswwewwswswswswwswswwwswwwsewweeweswewwswwwwswwwewewwYesu alirudi mwaka gani?
WswewewswewwewwwwwewewweeswweeweeweweswswswwwwwwwwswwewwwsweweswewwwYesu alirudi mwaka gani?
Nimeshamalizana na wewe!Umeshindwa wakati bado unanijibu?
Wewe ukiona mjadala wa imani, uliotumia tafsida ya kula mavi, utaelewa kwamba mjadala ni imani, kula mavi ni tafsida tu ya kufikisha ujumbe?
Kama huelewi substance ni nini na imagery ni nini, utawezaje kujadiliana nami kimantiki?
Kama huelewi simile and metaphor, unawezaje kujadiliana falsafa ya dini nami?