Diamond Platnumz hili la kumfananisha demu (msichana) wako na Yesu (Mungu) utuombe radhi wakristo na utubu au wimbo wake ufungiwe na BASATA

Hapa nilipo namsikiliza Ariana Grande anaimba God is a woman. Kawimbo katamu sana.
Sasa hapo watu waliotoka katika tamaduni za ujinga wanaweza kumuua.

Kwa kutimiza haki yake ya msingi ya uhuru wa kujieleza na kuabudu anavyotaka!
 
Kukashifu ni nini?

Na kama mimi imani yangu ni kukashifu ujinga, na imani yako ni ujinga, ukiniambia mimi niache kukashifu imani za watu wengine, wakati mimi imani yangu ni kukashifu imani za kijinga, hapo na wewe hujaikashifu imani yangu?
Mimi kama imani yangu ni kukashifu uislam,na wewe imani yako ni uislam!Ukiniambia niache kukashifu uislam,huoni kuwa umeingilia imani yangu?

Unataka tufike huko??
 
Unaelewa mpaka hapa ushaukashifu Uislamu?
 
Vita vyetu ni vya kiroho na si vya damu na nyama.
Mtu akimtukana Yesu, tunamuombea maana halijui halitendalo (Vita vyetu ni vya kiroho na si vya damu na nyama.). Ukiuona Jina Yesu linatukwana na kudharauliwa mbele za watu, halafu kuna wakiristo wakishika panga kuwakata hao watu au kuanzisha vurugu basi hao siyo wakristo kwasababu
1. Vita vyetu ni vya kiroho na si vya damu na nyama.
2. Mungu wetu kupitia mwanae Yesu kristu wanajipigania wenyewe, wana nguvu na wanaelewa lugha zote hata usali kwa lugha ya nyanya yako atakuelewa
3. Anayehukumu ni Mungu pekee. Kama mtu ameridhihaki jina la Yesu, Yesu ndiye atamhukumu na si wanadamu
Msingi wa dini ya kikristo ni upendo na kusamehe 70X70. Ndiyo maana kwa watu wanaoamini katika damu nyama nchi zao zinavurugu mpaka kesho, Iraq, Libya, Iran, Afaghanistan n.k
Yesu katika pitapita zake alikutana mwanamke mzinifu (Dini nyingine wanapigwa mawe) aliyekuwa anataka kupigwa mawe. Yesu aliwajibu "kama kuna mtu kati yenu ambaye hana dhambi, awe wa kwanza kumrushia jiwe huyu mwanamke"
Kama mpaka kwenye nyumba za Ibada wanafundisha kungfuu hapo tegemea Jihad kuanzishwa (Boko Harama, Al Qaeda, Al Shabab n.k). Unafikiri kwa nini serikali ya Tanzania iliwafunga wale mashekhe? kwasababu kulikuwa kunazaliwa kundi moja la hatari kama Boko Haram
Wakristo wenyewe wameshajidharau na kumfanya Yesu wao adharaulike. Ndio maana Diamond anaweza kutunga mashairi ya kumkejeli Yesu. Tena Diamond ameiga tu, aliyeanza kutoa hizo dharau ni Kangi Lugola alipomfananisha Magufuli na Yesu, na viongozi wakubwa wa dini ya kikristo wakakaa kimya huku wakimshangilia Magufuli na kumsifia ovyo ovyo. Sasa tuwaache wakristo wavune walichopanda. Yote haya ni mafanikio ya uongozi wa awamu ya tano!

Heshima ya Yesu italetwa na wale wanaomwamini, na itapotezwa na hao hao wanaomwamini.

CCM oyeee!
Magufuli oyeee!
Diamond oyeee!
 
Mimi kama imani yangu ni kukashifu uislam,na wewe imani yako ni uislam!Ukiniambia niache kukashifu uislam,huoni kuwa umeingilia imani yangu?

Unataka tufike huko??
Kwa nini imani iwe muhimu kuliko ukweli?

Kama wewe imani yako ni kula mavi, nikakwambia ukweli kwamba wewe ni mchafu unakula mavi, utapata maradhi. Utatuambukiza kipindupindu.

Hapo utasema nimeikashifu imani yako au nimesema ukweli tu?
 
Mbona unarukaruka?Jikite kwenye hoja!Maana wewe umesema ni sawa kukashifu imani za watu wengine!
Kwa nini imani iwe muhimu kuliko ukweli?

Kama wewe imani yako ni kula mavi, nikakwambia ukweli kwamba wewe ni mchafu unakula mavi, utapata maradhi. Utatuambukiza kipindupindu.

Hapo utasema nimeikashifu imani yako au nimesema ukweli tu?
 
Kwa nini imani iwe muhimu kuliko ukweli?

Kama wewe imani yako ni kula mavi, nikakwambia ukweli kwamba wewe ni mchafu unakula mavi, utapata maradhi. Utatuambukiza kipindupindu.

Hapo utasema nimeikashifu imani yako au nimesema ukweli tu?
Naona unarukaruka tu!Na mifano yako sio hai kabisa!Tanzania kuna imani kubwa mbili kutokana na idadi ya wafuasi wa imani hizi!Kuna wakristo na waislamu!Imani hizi kila moja wanaamini katika wanayoamini!Wakristo wanaamini katika kristo yaani Yesu kristo!Waislam wanamuamini Allah na mtume wao Mohamad SAW!
Tumeishi pamoja kwa amani kwasababu ya kuheshimiani,kila mmoja akiheshimu imani ya mwingine!
Kumfananisha Mungu wa imani mojawapo na kitu chochote ni kuikashifu dini hiyo!Unamfananishaje Mungu anayeaminiwa na wakristo na demu wako ambaye unamuingilia kimwili?Hiyo ni kashfa na dharau kwa imani isiyo yako!
Diamond anajua fika wakristo sio wagomvi,angemfananisha Mwanamke wake na mtume Mohamad SAW angekiona cha moto!
 
Ni makufuru kumlinganisha Yesu na girl friend wake, lakini pia ni makufuru kumwita Yesu Mungu Muumba wa mbingu na dunia.

Soma Mathayo 16:16,17 Simoni Petro akajibu: “Wewe ndiye Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.”17 Yesu akamwambia: “Mwenye furaha ni wewe, Simoni mwana wa Yona, kwa sababu mwili na damu havikukufunulia hilo, bali Baba yangu aliye mbinguni ndiye aliyekufunulia.

Yohana 14; 28 Mlisikia nikiwaambia, ‘Ninaenda, nami nitakuja tena kwenu.’ Kama mngenipenda, mngeshangilia kwamba ninaenda kwa Baba, kwa maana Baba ni mkuu kuliko mimi.
Yesu ni Mungu katika mwili wa kibinadamu,period.
 
Inahitaji akili kubwa kuelewa Yesu ni Mungu,
 
Naona unarukaruka tu!Na mifano yako sio hai kabisa!Tanzania kuna imani kubwa mbili kutokana na idadi ya wafuasi wa imani hizi!Kuna wakristo na waislamu!Imani hizi kila moja wanaamini katika wanayoamini!Wakristo wanaamini katika kristo yaani Yesu kristo!Waislam wanamuamini Allah na mtume wao Mohamad SAW!
Tumeishi pamoja kwa amani kwasababu ya kuheshimiani,kila mmoja akiheshimu imani ya mwingine!
Kumfananisha Mungu wa imani mojawapo na kitu chochote ni kuikashifu dini hiyo!Unamfananishaje Mungu anayeaminiwa na wakristo na demu wako ambaye unamuingilia kimwili?Hiyo ni kashfa na dharau kwa imani isiyo yako!
Diamond anajua fika wakristo sio wagomvi,angemfananisha Mwanamke wake na mtume Mohamad SAW angekiona cha moto!
Imani ni nini?

Usikariri.
 
Ni makufuru kumlinganisha Yesu na girl friend wake, lakini pia ni makufuru kumwita Yesu Mungu Muumba wa mbingu na dunia.

Soma Mathayo 16:16,17 Simoni Petro akajibu: “Wewe ndiye Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.”17 Yesu akamwambia: “Mwenye furaha ni wewe, Simoni mwana wa Yona, kwa sababu mwili na damu havikukufunulia hilo, bali Baba yangu aliye mbinguni ndiye aliyekufunulia.

Yohana 14; 28 Mlisikia nikiwaambia, ‘Ninaenda, nami nitakuja tena kwenu.’ Kama mngenipenda, mngeshangilia kwamba ninaenda kwa Baba, kwa maana Baba ni mkuu kuliko mimi.
Hoja hapa ni kumfananisha Yesu na GF wako,hayo mengine kuna nyuzi zipo kuhusu Yesu ni Mungu au vipi!
Tusipoteze focus ya uzi,Diamond aombe radhi na aufute wimbo huo!
 
Imani ni nini?

Usikariri.
Naona uko hapa kubishana tu ilimradi na sio kujadili hoja!Naomba nikuache ulivyo,maana tuko kwenye hoja unaniletea habari za kula mavi!
Nakufafanulia msingi wa hoja unakuja kiwepesi namna hii!Hapana,naomba niishie hapa!
 
Sasa wewe ambaye hutaki au huwezi hata ku define imani ni nini ndiye unayejadili hoja?
 
Endelea kujadiliana na wengine kuhusu kula mavi,mimi nimeshindwa aisee!
Umeshindwa wakati bado unanijibu?

Wewe ukiona mjadala wa imani, uliotumia tafsida ya kula mavi, utaelewa kwamba mjadala ni imani, kula mavi ni tafsida tu ya kufikisha ujumbe?

Kama huelewi substance ni nini na imagery ni nini, utawezaje kujadiliana nami kimantiki?

Kama huelewi simile and metaphor, unawezaje kujadiliana falsafa ya dini nami?
 
Nimeshamalizana na wewe!
 
Back
Top Bottom