Vita vyetu ni vya kiroho na si vya damu na nyama.
Mtu akimtukana Yesu, tunamuombea maana halijui halitendalo (Vita vyetu ni vya kiroho na si vya damu na nyama.). Ukiuona Jina Yesu linatukwana na kudharauliwa mbele za watu, halafu kuna wakiristo wakishika panga kuwakata hao watu au kuanzisha vurugu basi hao siyo wakristo kwasababu
1. Vita vyetu ni vya kiroho na si vya damu na nyama.
2. Mungu wetu kupitia mwanae Yesu kristu wanajipigania wenyewe, wana nguvu na wanaelewa lugha zote hata usali kwa lugha ya nyanya yako atakuelewa
3. Anayehukumu ni Mungu pekee. Kama mtu ameridhihaki jina la Yesu, Yesu ndiye atamhukumu na si wanadamu
Msingi wa dini ya kikristo ni upendo na kusamehe 70X70. Ndiyo maana kwa watu wanaoamini katika damu nyama nchi zao zinavurugu mpaka kesho, Iraq, Libya, Iran, Afaghanistan n.k
Yesu katika pitapita zake alikutana mwanamke mzinifu (Dini nyingine wanapigwa mawe) aliyekuwa anataka kupigwa mawe. Yesu aliwajibu "kama kuna mtu kati yenu ambaye hana dhambi, awe wa kwanza kumrushia jiwe huyu mwanamke"
Kama mpaka kwenye nyumba za Ibada wanafundisha kungfuu hapo tegemea Jihad kuanzishwa (Boko Harama, Al Qaeda, Al Shabab n.k). Unafikiri kwa nini serikali ya Tanzania iliwafunga wale mashekhe? kwasababu kulikuwa kunazaliwa kundi moja la hatari kama Boko Haram
Wakristo wenyewe wameshajidharau na kumfanya Yesu wao adharaulike. Ndio maana Diamond anaweza kutunga mashairi ya kumkejeli Yesu. Tena Diamond ameiga tu, aliyeanza kutoa hizo dharau ni Kangi Lugola alipomfananisha Magufuli na Yesu, na viongozi wakubwa wa dini ya kikristo wakakaa kimya huku wakimshangilia Magufuli na kumsifia ovyo ovyo. Sasa tuwaache wakristo wavune walichopanda. Yote haya ni mafanikio ya uongozi wa awamu ya tano!
Heshima ya Yesu italetwa na wale wanaomwamini, na itapotezwa na hao hao wanaomwamini.
CCM oyeee!
Magufuli oyeee!
Diamond oyeee!