Diamond Platnumz hili la kumfananisha demu (msichana) wako na Yesu (Mungu) utuombe radhi wakristo na utubu au wimbo wake ufungiwe na BASATA

Siku 40 kabla ya kupaa kwake mwaka gani?

Unaelewa kwamba kurudi kunakozungumziwa hapa ni kwa mara ya pili baada ya huko "kupaa"?

Unaweza kuthibitisha alipaa, na kwamba habari za kupaa kwake si hadithi za uongo tu?
Sihitaji kuthibitisha. Uhakika niluonao umenithibitishia yote. Kwako wewe ni jukumu lako kutafiti ili kujua ukweli. Usitafute kutembea imanibyangu. Yesu Kristo mwenyewe alisema atakayemtafuta kwa moyo ATAMWONA. Kazi kwako
 
Sasa Diamond Platnumz amuombe radhi nani, wabongo au wazungu? Maana ninavyojua mimi Yesu ni wa wazungu sema Wapogoro mnapenda kununua kesi zisizowahusu tu
 
Tamathali ya semi inayoitwa LAKABU hiyo
 
Sihitaji kuthibitisha. Uhakika niluonao umenithibitishia yote. Kwako wewe ni jukumu lako kutafiti ili kujua ukweli. Usitafute kutembea imanibyangu. Yesu Kristo mwenyewe alisema atakayemtafuta kwa moyo ATAMWONA. Kazi kwako
Siyo huhitaji kuthibitisha.

Huwezi kuthibitisha.

Kwa sababu huna uhakika.

Unapiga porojo tu.
 
Kazi kwako. Imani ni jambo binafsi.
Sasa kama imani ni jambo binafsi, mbona unamuingilia Diamond kaenye imani yake inayomruhusu kumfananisha mpenzi wake na Yesu?

You are contradicting yourself!
 
Sasa kama imani ni jambo binafsi, mbona unamuingilia Diamond kaenye imani yake inayomruhusu kumfananisha mpenzi wake na Yesu?

You are contradicting yourself!
Hiyo sio imani. Imani ni kuamini kile kilichosemwa, kama huamini ni makosa kupindisha ukweli. Unachopaswa kufanya ni kuachana na usichoamini na kushikilia kike unachadhani ni sahihi. Kuchukua kile ambacho wengine wanakiamini kwa jinsi kilivyosemwa kisha inakipotosha ili kujenga taswira yako ni ujinga wa hali ya juu sana.
 
Unajuaje huu ni ukweli na huu ni uongo?
 
Hivi Hawa wanaosema yesu ni mungu hawajui kuwa yesu na yeye itafika siku roho yake itachukuliwa na jibril.?
 
Uongo ni kubadili kile kilichosemwa na mwanzilishi ili kutengeneza jambo tofauti na kweli halisi

Unaelewa kwamba hujajibu swali umejishebedua tu hapo?

Mimi nakuuliza unajuaje huu huu uongo na huu ukweli, kwenye jibu unaniambia habari za ukweli halisi?

Kabla hujajibu ukweli ni nini na unaujuaje usharukia habari za ukweli halisi?

Uongo hauwezi kuwepo bila kubadili kilichosemwa na muanzilishi?
 
Jikite kwenye mada, sina mijadala ya kipuuzi. Note that
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…