Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Ukinijibu maana yake hujamalizana na mimi.Nimeshamalizana na wewe!
Yani unashindwa kujizuia kuninibu.
Sasa umemalizana vipi nami kama hata kunijibu huwezi kujizuia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukinijibu maana yake hujamalizana na mimi.Nimeshamalizana na wewe!
Sihitaji kuthibitisha. Uhakika niluonao umenithibitishia yote. Kwako wewe ni jukumu lako kutafiti ili kujua ukweli. Usitafute kutembea imanibyangu. Yesu Kristo mwenyewe alisema atakayemtafuta kwa moyo ATAMWONA. Kazi kwakoSiku 40 kabla ya kupaa kwake mwaka gani?
Unaelewa kwamba kurudi kunakozungumziwa hapa ni kwa mara ya pili baada ya huko "kupaa"?
Unaweza kuthibitisha alipaa, na kwamba habari za kupaa kwake si hadithi za uongo tu?
Hiyo si TASHBIHA inaitwa LAKABUHakuna cha fasihi hata tashbiha zina mipaka ni lazima msanii asadifu kilichopo kwenye jamii na siyo kuimba vitu visvyoingia akilini
Tamathali ya semi inayoitwa LAKABU hiyoNimeusikiliza wimbo mpya wa Diamond Platnumz uitwao ongeza kiukweli anatakiwa atafute mhariri wa mashairi na mistari yake. Kwenye ngoma ya ongeza anasema "we ndo wangu yesu mkombozi sa mbona unaniacha mwenyewe" anamuongelea mwanamke/ msichana/demu wake.
Kwa hili Diamond hapana umeenda mbali mno na umetukosea Wakristo. Hivi mkristo aimbe wimbo amljnganishe demu wake na Mtume Mohammad au Allah atakuwa sawa?
Kwetu Wakristo Yesu ni Mungu kweli, mtu kweli Yohana Mtakatifu 1:1-10. Yesu ni Mungu mwana katika nafsi tatu za Mungu zinazofanya Utatu Mtakatifu.
Yesu aliacha kiti chake cha enzi kule mbinguni akauvaa mwili akashuka duniani ili atufie na kutukomboa sisi na dhambi zetu. Alisulubiwa akafa, akazikwa siku ya tatu akafufuka na sasa ameketi mkono wa kuume wa Mungu Baba na hapa tulipo tunasubiri arudi aje awahukumu walio hai na wafu. Maana ameahidi anakwenda kwa Baba kutuandalia makao na atakuja kutuchukua ili alipo nasi tuwepo. Je ni Yesu huyu wa kumlinganisha na demu wake kweli Diamond Platnumz?
Yesu huyu ambaye alikuwepo kabla ya ulimwengu kuumbwa ambaye maandiko yanasema vitu vyote viliumbwa kwa jina lake na pasipo yeye hakuna kilichoumbwa? Huyu ndiyo wa kumlinganisha na demu.
Ni kweli sanaa inahitaji ubunifu lakini siyo kwa kiwango hiki Diamond aombe radhi kwa kweli au wimbo wake ufungiwe na BASATA.
The good news is, u MF u are not even near the President or Lawyer. Thanx GOD for another beautiful miracle.If i was a lawyer or president, i would imprison this MF for life.
Siyo huhitaji kuthibitisha.Sihitaji kuthibitisha. Uhakika niluonao umenithibitishia yote. Kwako wewe ni jukumu lako kutafiti ili kujua ukweli. Usitafute kutembea imanibyangu. Yesu Kristo mwenyewe alisema atakayemtafuta kwa moyo ATAMWONA. Kazi kwako
Kazi kwako. Imani ni jambo binafsi.Siyo huhitaji kuthibitisha.
Huwezi kuthibitisha.
Kwa sababu huna uhakika.
Unapiga porojo tu.
Sasa kama imani ni jambo binafsi, mbona unamuingilia Diamond kaenye imani yake inayomruhusu kumfananisha mpenzi wake na Yesu?Kazi kwako. Imani ni jambo binafsi.
Hiyo sio imani. Imani ni kuamini kile kilichosemwa, kama huamini ni makosa kupindisha ukweli. Unachopaswa kufanya ni kuachana na usichoamini na kushikilia kike unachadhani ni sahihi. Kuchukua kile ambacho wengine wanakiamini kwa jinsi kilivyosemwa kisha inakipotosha ili kujenga taswira yako ni ujinga wa hali ya juu sana.Sasa kama imani ni jambo binafsi, mbona unamuingilia Diamond kaenye imani yake inayomruhusu kumfananisha mpenzi wake na Yesu?
You are contradicting yourself!
Unajuaje huu ni ukweli na huu ni uongo?Hiyo sio imani. Imani ni kuamini kile kilichosemwa, kama huamini ni makosa kupindisha ukweli. Unachopaswa kufanya ni kuachana na usichoamini na kushikilia kike unachadhani ni sahihi. Kuchukua kile ambacho wengine wanakiamini kwa jinsi kilivyosemwa kisha inakipotosha ili kujenga taswira yako ni ujinga wa hali ya juu sana.
Uongo ni kubadili kile kilichosemwa na mwanzilishi ili kutengeneza jambo tofauti na kweli halisiUnajuaje huu ni ukweli na huu ni uongo?
Uongo ni kubadili kile kilichosemwa na mwanzilishi ili kutengeneza jambo tofauti na kweli halisi
Jikite kwenye mada, sina mijadala ya kipuuzi. Note thatUnaelewa kwamba hujajibu swali umejishebedua tu hapo?
Mimi nakuuliza unajuaje huu huu uongo na huu ukweli, kwenye jibu unaniambia habari za ukweli halisi?
Kabla hujajibu ukweli ni nini na unaujuaje usharukia habari za ukweli halisi?
Uongo hauwezi kuwepo bila kubadili kilichosemwa na muanzilishi?
Mada hata ukiwekewa chini ya pua yako utaweza kuinusa?Jikite kwenye mada, sina mijadala ya kipuuzi. Note that
YapMada hata ukiwekewa chini ya pua yako utaweza kuinusa?
Is that the best you could come up with?
Be logical so that we can converse.Is that the best you could come up with?