Diamond Platnumz hili la kumfananisha demu (msichana) wako na Yesu (Mungu) utuombe radhi wakristo na utubu au wimbo wake ufungiwe na BASATA

Huu uzi ningeuelewa kama hiyo kauli ingelisemwa na mtu aliye haki kama askofu, mchungaji au sheikh...

Sasa washangaa nini mfuasi wa filimasoni kutamka hayo
 
DAWA YAKE NI KUMSHTAKI BASATA AKOME
 
Wewe pia unakufuru kumuita binadamu "MUNGU",Yesu siyo Mungu,Mungu HAKUZALIWA WALA HAKUZAA,huyo ni nabii tu kama wengine,
 
Yohana 10:30-33
Yohana 14:7-9
Mika 5:2
Wakolosai 1:7
Yohana 17:5-24
 
Kakojoe ukalale
 
Sisi wakristo hatuna noma.. hata akichana biblia Haina shida.. akichana biblia 3000 tunazalisha biblia 2,000,000

aendelee kumtangaza yesu hata akimfananisha na mama yake ni poa tu.
Vipi alieonja utamu wa Yesu Mbona hamujamuongelea
 
Juzi kati tulimtukana sana dulla makabila kutumia misalaba na jeneza watu wengi walimsema kwanini wastumie din zao, ni time sasa ya wakristo kuamka tumezubaa sana wao mbona ya kwao hawachezewi tuache kuzubaaa kila leo ni kuwapa vichapo wanaofanya hivyo
 
Wakristo sie wapole sana ingekua waislamu muda huu kijana angekua keshaharibiwa sura na vitisho kibao vya kusomewa albadir.

Domo mpuuzi halafu mdini balaa hapo ndipo kaonyesha rangi yake halisi.
Ana udin sana huyo sema wakristo wa tz vilaza wengi sana akichukua pesa zenu akiingia kulala anasema nimechota pesa za makafiri ndio hivyo
 
Utakua mvaa kobazi wewe unataka kuleta maneno ,wakristo hawanaga michambo
Acha kubwabwaja wewe wakristo inabidi tuamke watatuzoea hao juzi dula makabila kachambwa ktumia jeneza na msalaba badala atumie vya din yake tuamke sio wana make mitonyo kupitia tamaduni za kikristo tumezubaa tu wakimaliza wanasema makafiri hao pumbavuu kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…