Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
You can't even establish definitions, yet you want a logical conversation.Be logical so that we can converse.
Is that logical?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You can't even establish definitions, yet you want a logical conversation.Be logical so that we can converse.
Take careYou can't even establish definitions, yet you want a logical conversation.
Is that logical?
DAWA YAKE NI KUMSHTAKI BASATA AKOMENimeusikiliza wimbo mpya wa Diamond Platnumz uitwao ongeza kiukweli anatakiwa atafute mhariri wa mashairi na mistari yake. Kwenye ngoma ya ongeza anasema "we ndo wangu yesu mkombozi sa mbona unaniacha mwenyewe" anamuongelea mwanamke/ msichana/demu wake.
Kwa hili Diamond hapana umeenda mbali mno na umetukosea Wakristo. Hivi mkristo aimbe wimbo amljnganishe demu wake na Mtume Mohammad au Allah atakuwa sawa?
Kwetu Wakristo Yesu ni Mungu kweli, mtu kweli Yohana Mtakatifu 1:1-10. Yesu ni Mungu mwana katika nafsi tatu za Mungu zinazofanya Utatu Mtakatifu.
Yesu aliacha kiti chake cha enzi kule mbinguni akauvaa mwili akashuka duniani ili atufie na kutukomboa sisi na dhambi zetu. Alisulubiwa akafa, akazikwa siku ya tatu akafufuka na sasa ameketi mkono wa kuume wa Mungu Baba na hapa tulipo tunasubiri arudi aje awahukumu walio hai na wafu. Maana ameahidi anakwenda kwa Baba kutuandalia makao na atakuja kutuchukua ili alipo nasi tuwepo. Je ni Yesu huyu wa kumlinganisha na demu wake kweli Diamond Platnumz?
Yesu huyu ambaye alikuwepo kabla ya ulimwengu kuumbwa ambaye maandiko yanasema vitu vyote viliumbwa kwa jina lake na pasipo yeye hakuna kilichoumbwa? Huyu ndiyo wa kumlinganisha na demu.
Ni kweli sanaa inahitaji ubunifu lakini siyo kwa kiwango hiki Diamond aombe radhi kwa kweli au wimbo wake ufungiwe na BASATA.
You wouldn't know care if it stared you in the faceTake care
Huu ni unyanyapaa kwa watoto.Kiranga unavijiswali vya kitotototo.
Wakome na Yesu wetu, tena wakome.
Nimeusikiliza wimbo mpya wa Diamond Platnumz uitwao ongeza kiukweli anatakiwa atafute mhariri wa mashairi na mistari yake. Kwenye ngoma ya ongeza anasema "we ndo wangu yesu mkombozi sa mbona unaniacha mwenyewe" anamuongelea mwanamke/ msichana/demu wake.
Kwa hili Diamond hapana umeenda mbali mno na umetukosea Wakristo. Hivi mkristo aimbe wimbo amljnganishe demu wake na Mtume Mohammad au Allah atakuwa sawa?
Kwetu Wakristo Yesu ni Mungu kweli, mtu kweli Yohana Mtakatifu 1:1-10. Yesu ni Mungu mwana katika nafsi tatu za Mungu zinazofanya Utatu Mtakatifu.
Yesu aliacha kiti chake cha enzi kule mbinguni akauvaa mwili akashuka duniani ili atufie na kutukomboa sisi na dhambi zetu. Alisulubiwa akafa, akazikwa siku ya tatu akafufuka na sasa ameketi mkono wa kuume wa Mungu Baba na hapa tulipo tunasubiri arudi aje awahukumu walio hai na wafu. Maana ameahidi anakwenda kwa Baba kutuandalia makao na atakuja kutuchukua ili alipo nasi tuwepo. Je ni Yesu huyu wa kumlinganisha na demu wake kweli Diamond Platnumz?
Yesu huyu ambaye alikuwepo kabla ya ulimwengu kuumbwa ambaye maandiko yanasema vitu vyote viliumbwa kwa jina lake na pasipo yeye hakuna kilichoumbwa? Huyu ndiyo wa kumlinganisha na demu.
Ni kweli sanaa inahitaji ubunifu lakini siyo kwa kiwango hiki Diamond aombe radhi kwa kweli au wimbo wake ufungiwe na BASATA.
Yohana 10:30-33Yohana 8:58
NWT: Jesus said to them: “Most truly I say to you, before Abraham came into existence, I have been.
TLB: Jesus: “The absolute truth is that I was in existence before Abraham was ever born!”
WE: Jesus answered, `I tell you the truth. I already was before Abraham was born.'
Hapa Yesu anaeleza kwamba alikuwepo kabla hata ya Ibrahimu kuzaliwa.
Kakojoe ukalaleNimeonja Utamu Wa Yesu
Ya Rose Muhando imekubaliwa na Wakristo kisa ni msanii wa Injili
Ila hii ya Leo imekataliwa na wakristo kisa ni Diamond
Mungu yuko wapi ya Ney imekubaliwa sikuona aliyeibuka kuipinga wala kusema haitakiwi
Ma Niggas huwa wanaimba nyimbo za kukejeli kule Marekani na za kuhusisha Freemasons kuipinga Imani ya Kristo hamkuibuka kupinga.
Wakati fulani niliwahi kumtongoza msichana akaniambia sikati kuolewa mwanaume pekee na rafiki yangu ni Yesu tu
Acha Nikae Kimya[emoji850][emoji850]
Vipi alieonja utamu wa Yesu Mbona hamujamuongeleaSisi wakristo hatuna noma.. hata akichana biblia Haina shida.. akichana biblia 3000 tunazalisha biblia 2,000,000
aendelee kumtangaza yesu hata akimfananisha na mama yake ni poa tu.
Hajataka kutumia hiyo fasihiHakuna,
Mbona hajamtaja mwamedi?
HahaaaNyimbo zake ndo zile
Basi kilete kileso,kileso,kileso
Basi kisogeze kwa apa kileso ,kileso.
Kizungushe kwa apa kileso ,kileso.
Unategema nini?
Ana udin sana huyo sema wakristo wa tz vilaza wengi sana akichukua pesa zenu akiingia kulala anasema nimechota pesa za makafiri ndio hivyoWakristo sie wapole sana ingekua waislamu muda huu kijana angekua keshaharibiwa sura na vitisho kibao vya kusomewa albadir.
Domo mpuuzi halafu mdini balaa hapo ndipo kaonyesha rangi yake halisi.
Acha kubwabwaja wewe wakristo inabidi tuamke watatuzoea hao juzi dula makabila kachambwa ktumia jeneza na msalaba badala atumie vya din yake tuamke sio wana make mitonyo kupitia tamaduni za kikristo tumezubaa tu wakimaliza wanasema makafiri hao pumbavuu kabisaaUtakua mvaa kobazi wewe unataka kuleta maneno ,wakristo hawanaga michambo
Na yule mbakaji vitoto unamsenajeYesu alikuwa mwizi wa mbao tu, au wewe haujapata hiyo stori?
Kwa nini asifanye hiyo fasihi kutumia jina la mtume wa dini yake?!!!Lugha ya fashii hiyo
Hatukomi yesu wetu wote tunatofautiana ktk matumizi tuWakome na Yesu wetu, tena wakome.