Diamond Platnumz hili la kumfananisha demu (msichana) wako na Yesu (Mungu) utuombe radhi wakristo na utubu au wimbo wake ufungiwe na BASATA

Uzuri wake Yesu ni Mungu na hujitetea siyo kama mungu Baal. Sisi yetu ni kumuonya na kunyamaza kama hakusikia yatakayompata inakuwa kajitakia.
 
Yesu nnaemwamini mimi anajitetea mwenyewe na haadhiriwi nawanachosema watu kuhusu yeye. Nguvu, uwezo na mamlaka yake hayapungui.

Atakua Yesu duni sana ikiwa anahitaji utetezi wa wanadam kuendelea kuwepo.
 
[emoji3]mleta mada ndo hajaelewa wimbo

Hajamlinganisha Msichana na Yesu
Ila Aliamnini msichana atakuwa naye kama yesu alivyokuwa na wanafunzi wake baadaye Petro akamsaliti

Usaliti wa msichana anaufananisha na usaliti wa Petro kwa Yesu..

Eti Rose Muhando akiimba ameonja utamu wa Yesu ndo mnafurahi[emoji4]
 
Hata kama ni Hivyo miongoni mwa vitu hauwezi kuvipa Vivumishi ni kama vitu vyenye asili ya Uungu sasa inakuaje Yeye Diamond ana mlinganisha Mwanamke na Yesu(KAZINGUA MSIMTETE HATA KIDOGO)

Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nasikiliza tu midundo maneno hata sisikii πŸ’ƒπŸΎπŸ’ƒπŸΎπŸ’ƒπŸΎπŸ’ƒπŸΎπŸ’ƒπŸΎπŸ’ƒπŸΎ
Ukisikiliza sana maneno ya muziki utakosa furaha kuna wimbo ulimtaja jina X wangu nikajifinza tangu wakati huo sisikilizi maneno mimi nasikiliza midundo tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapa Diamond umechemka sana tu.
Mbona ujapaniki jamaa fulani kuact Kama Ni yesu ndio kwanza picha zake mnaziweka kwenye majumba yenu.Sijaona diamond amechemka nilichoona me wewe umeshindwa kuelewa wimbo.
 
🀣🀣🀣🀣🀣 Ila wimbo Huu wa diamond unahisia Sana unagusa moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…