Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Sawa mkuuMtoto halali na hela Ebu kasikilize vizuri huo wimbo mtoa mada kakurupuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuMtoto halali na hela Ebu kasikilize vizuri huo wimbo mtoa mada kakurupuka
Katuudhi au katuudhi wewe? Kwani wewe ndio Msemaji wa watanzania wewe na mtoa mada acheni udini ngoma yenyewe hata ujaielewa alafu una commentDiamond katuudhi
[emoji3]mleta mada ndo hajaelewa wimboKazingua
Hata kama ni Hivyo miongoni mwa vitu hauwezi kuvipa Vivumishi ni kama vitu vyenye asili ya Uungu sasa inakuaje Yeye Diamond ana mlinganisha Mwanamke na Yesu(KAZINGUA MSIMTETE HATA KIDOGO)[emoji3]mleta mada ndo hajaelewa wimbo
Hajamlinganisha Msichana na Yesu
Ila Aliamnini msichana atakuwa naye kama yesu alivyokuwa na wanafunzi wake baadaye Petro akamsaliti
Usaliti wa msichana anaufananisha na usaliti wa Petro kwa Yesu..
Eti Rose Muhando akiimba ameonja utamu wa Yesu ndo mnafurahi[emoji4]
Qummk [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yesu alikuwa mwizi wa mbao tu, au wewe haujapata hiyo stori?
Wewe ndio akili huna unaeleweshwa alafu unajifanya uelewiHata kama ni Hivyo miongoni mwa vitu hauwezi kuvipa Vivumishi ni kama vitu vyenye asili ya Uungu sasa inakuaje Yeye Diamond ana mlinganisha Mwanamke na Yesu(KAZINGUA MSIMTETE HATA KIDOGO)
Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
Lugha ya fashii hiyo
Mbona ujapaniki jamaa fulani kuact Kama Ni yesu ndio kwanza picha zake mnaziweka kwenye majumba yenu.Sijaona diamond amechemka nilichoona me wewe umeshindwa kuelewa wimbo.Hapa Diamond umechemka sana tu.
🤣🤣🤣🤣🤣 Ila wimbo Huu wa diamond unahisia Sana unagusa moyoMimi nasikiliza tu midundo maneno hata sisikii 💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾
Ukisikiliza sana maneno ya muziki utakosa furaha kuna wimbo ulimtaja jina X wangu nikajifinza tangu wakati huo sisikilizi maneno mimi nasikiliza midundo tu 😂😂😂😂😂