Diamond Platnumz hili la kumfananisha demu (msichana) wako na Yesu (Mungu) utuombe radhi wakristo na utubu au wimbo wake ufungiwe na BASATA

Wewe ushapotezwa na ukosefu elimu unakusumbua. Elimu sio kwenda shule, unaweza ukawa na Master degree lakini ukawa bado hujitambui.
bora kusoma kuliko kutosoma kabisa, kwahiyo bora ukawa na elimu usijitambue kuliko kutokuwa na elimu kbisa, ndio hao JIWE kaenda kigoma anawaambia atawapelekea dremliner, yaani hata jiwe mwenyewe am sure hajui biashara ya ndege na wao walivyo wajnga wanashangilia tu,
 
Mkuu hapa tunaongea the same statement lakini tumetofautiana sentences tu. Kigoma pia kuna shule na watu wahesabu vidato humo lakini hawajui wanashangilia nini, si umeona eh?
 
we jamaa unaakili sana
 
Y'all sound dumb!

Mnaotaka Wakristo wasimame kupiga kelele kuwa Diamond kakosea ndiyo kutawafutia dhambi au? Au itaongeza nini katika maisha yao?

If he's right/wrong ni yeye na Mungu wake, who are you to judge?

Kupiga, kutukana, kudhihaki, kudharau zote ni dhambi kwahiyo mnataka Wakristo wasimame kutenda dhambi?

Kila mtu anapaswa kusimamia imani yake, Ukristo haufundishi kupiga au kutukana mtu asiyeamini Ukristo na Diamond sidhani kama yupo kokote katika kudhihaki Ukristo.

Wewe mleta uzi ndiyo umeleta udini katika hili na sijui una nafasi gani katika Ukristo.
 
Alafu Yesu sio Mungu, Yesu alikuwa nabii kama mitume wengine. Tofautisha kwanza hivi vitu, Kuna Mungu na Mitume/Manabii.
 
Kumbe kweli hili jamaa ni pumbavu no wonder linachemka na atachemka sana kwenye mahusiano. Ana roho chafu ya ibilisi ya zinaa na hataweza kuwa stable . Pumbavu sana.
 
Mkuu hapa tunaongea the same statement lakini tumetofautiana sentences tu. Kigoma pia kuna shule na watu wahesabu vidato humo lakini hawajui wanashangilia nini, si umeona eh?
Asante, nimekupata sasa mkuu wangu, Elimu elimu elimu!
 
Alafu Yesu sio Mungu, Yesu alikuwa nabii kama mitume wengine. Tofautisha kwanza hivi vitu, Kuna Mungu na Mitume/Manabii.
Kwa Sisi Waislamu Yesu si Mungu.
Kwa Wao Wakristo Yesu Ni Mungu[Mungu mmoja nafsi tatu, Baba, Mwanan na Roho Mtakatifu] huwezi tenganisha.
Sasa kama wewe unamuabudu alah na mwenzako anamuabudu Mungu /Yesu muache, kila mtu na imani yake, tusifokeane.
 
Wengi wamedhiaki ukristo lakini serikali inawaangalia tu.Hata kalapina kwenye wimbo wake wa umoja ni nguvu kunamstari anasema "Mateso zaidi ya Yesu Msalabani."

Idris Sultan tangazo lake la condom anakashifu kwa kumuweka mchungaji anataja Yesu mule.
 
Hiv mzee umeisikiliza huo wimbo au unacomment na unafuata upepo wa mtoa mada ebu kasikilize huo wimbo vizuri alafu njoo utuambie Yesu kadhalilishwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…