Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hayo maisha magumu si yako...sisi hayatuhusu na wala Hatufanani maisha bro wewe endelea kupambana na hali yakoMaishà n magumu jaman,mpaka wakina gwajima wanataka kwenda bungeni,huo muda wakupgania dini za wazungu mnautoa wap
People who blasphemy always never ends well. Daimond start that let's see the reply from Jesus(The king of God glory).Yesu alikuwa mwizi wa mbao tu, au wewe haujapata hiyo stori?
Mathayo 12Yesu alikuwa mwizi wa mbao tu, au wewe haujapata hiyo stori?
Unaongea kishabiki, kangi alikemewa kwa maneno yake embu uwe mtu wa kuchunguza ndio unaongea sio unaropoka tu
Je ni Yesu aliyekuambia uyaseme haya.Watu mnampigania Yesu aiseee, anawacheki tu anaona mnapoteza muda wenu.
Je ni Yesu aliyekuambia uyaseme haya.
Yesu ni zaidi ya mtu wa kawaida na ni zaidi pia ya malaika hata kama alifanya kazi za kitume na kinabii kwa kuwa katika Qur'an anaelezwa kuwa ni roho ya Mungu na ni neno la Mungu. Na alikuja ili kufanyika ishara kwa binadamu.Wakristo bana.
Eti 'Yesu' ni 'Mungu' [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
Yesu ni zaidi ya mtu wa kawaida na ni zaidi pia ya malaika hata kama alifanya kazi za kitume na kinabii kwa kuwa katika Qur'an anaelezwa kuwa ni roho ya Mungu na ni neno la Mungu. Na alikuja ili kufanyika ishara kwa binadamu.
Acheni ushamba kupigania mambo ambayo hamjui yalianzia wap,acha kuwaibia waafrika wenzio sadakaSasa hayo maisha magumu si yako...sisi hayatuhusu na wala Hatufanani maisha bro wewe endelea kupambana na hali yako
We mdada kama nakuonaga kwenye nyuzi flan hivi unachora Sana mayai
Kumbe mzaramowenzangu.
Ni makosa na makufuru.Ile ya Jiwe alivyoitwa kwamba yeye ni Yesu vipi na ile? Au ile ni sawa?!
Sio wakristo bali ni wapagani wanasema hivyo. Kujiita mkristo haimaanishi wewe ni mkristo.Wakristo bana.
Eti 'Yesu' ni 'Mungu' 😂 😂 😂😂😂
Hata kwa dini ya kiislamu ni kufuru kubwa kumlinganisha yesu na mpenzi wa mtuNimeusikiliza wimbo mpya wa Diamond Platnumz uitwao ongeza kiukweli anatakiwa atafute mhariri wa mashairi na mistari yake. Kwenye ngoma ya ongeza anasema "we ndo wangu yesu mkombozi sa mbona unaniacha mwenyewe" anamuongelea mwanamke/ msichana/demu wake.
Kwa hili Diamond hapana umeenda mbali mno na umetukosea Wakristo. Hivi mkristo aimbe wimbo amljnganishe demu wake na Mtume Mohammad au Allah atakuwa sawa?
Kwetu Wakristo Yesu ni Mungu kweli, mtu kweli Yohana Mtakatifu 1:1-10. Yesu ni Mungu mwana katika nafsi tatu za Mungu zinazofanya Utatu Mtakatifu.
Yesu aliacha kiti chake cha nzi kule mbinguni akauvaa mwili akashuka duniani ili atufie na kutukomboa sisi na dhambi zetu. Alisulubiwa akafa, akazikwa siku ya tatu akafufuka na sasa ameketi mkono wa kuume wa Mungu Baba na hapa tulipo tunasubiri arudi aje awahukumu walio hai na wafu. Maana ameahidi anakwenda kwa Baba kutuandalia makao na atakuja kutuchukua ili alipo nasi tuwepo. Je ni Yesu huyu wa kumlinganisha na demu wake kweli Diamond Platnumz?
Yesu huyu ambaye alikuwepo kabla ya ulimwengu kuumbwa ambaye maandiko yanasema vitu vyote viliumbwa kwa jina lake na pasipo yeye hakuna kilichoumbwa? Huyu ndiyo wa kumlinganisha na demu.
Ni kweli sanaa inahitaji ubunifu lakini siyo kwa kiwango hiki Diamond aombe radhi kwa kweli au wimbo wake ufungiwe na BASATA.